AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ray
Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, Ray alisema kubadilika kwake kwa ngozi kumeleta gumzo kubwa kwake na pia kumempatia neema kutokana na makampuni hayo kutaka awe balozi wao.
“Kunywa kwangu maji kwa wingi na kushiriki mazoezi ipasavyo ndiyo kumepekekea ngozi yangu kuwa nyororo na makampuni yaliyojitokeza kwa sasa nimewaambia wasubiri kwanza hadi nitakapokuwa tayari kuwa balozi wao,’’ alieleza Ray.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
TUNATAKA watalam walizungumzie hilo
ReplyDeleteUlikua na rangi nzuri ya kiume umeenda hewani umbo la kiume misuli minene wauuu sasa umejibadilisha rangi.nyusi kunyoa.wanja mwingi.macho maragevu yaani ungekua kakaangu
ReplyDeletehakuna lolote
ReplyDeletekunywa maji hakuitaji matangazo labda kampuni za vipodozi zimfanye awe balozi wao
maji yana nyweka pasipo matangazo ni uhai wa binadamu lazima uyanywe tuu
ray tafuta kampuni ya vipodozi na uwe balozi wao
Jamani kumbe weusi ni rangi mbaya?Tueleweshane
ReplyDeleteJamani hizi ziara za Kikwete na Mkapa pale Ikulu mbona haziishi????? Juzi juzi hapa wameonekana tena pale kwa kile kinachoitwa mazungumzo na Rais JPM. Hayo ni mazungumzo gani ya kila siku????? Tena kutoka kwa Marais wastaafuu???? Mbona wakati wao hatukuwa tunaona Marais waliowatangulia wakikesha kwenda pale Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na wao?????? Kuna biashara gani inayoendelea pale????? Jamani mwacheni JPM afanye kazi zake za kutumbua hayo majipu ambayo yameleteleza umaskini uliokithiri miongoni mwa Watanzania dah!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMbona hatumuoni Rais mstaafu Mwinyi akijipeleka peleka pale Ikulu???? Kuna biashara gani katika ya Kikwete na Mkapa na JPM?????????? Tunataka kujua kwa kweli........
ReplyDeleteNi weupe gani aliokuwa nao huyo mgunyaa????? Wabongo kwa kutafuta kiki za kijinga duh kazi ipo.
ReplyDelete