Baada ya Esther Bulaya Kukamatwa Mwanza..Kamanda wa Polisi Adai Hati ya Kukamatwa Imetoka Ofisi ya Bunge na Anatakiwa Kusafirishwa Kwenda Dar es Salaam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa jimbo la Bunda,Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi  jijini Mwanza na kulazimika  kulala  rumande baada ya kunyimwa dhamana.

Polisi walivamia Hoteli aliyofikia mbunge huyo na kumkamata majira ya saa 7 usiku na kisha  kumpeleka  kituo cha kati cha Jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mhe. Halima Mdee (Mb) , Joyce Sokombe (Mb) pamoja na Wakili John Malya.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Justus Kamugisha amesema  hati ya kukamatwa kwake imetoka ofisi ya Bunge na kwamba Mbunge huyo anashikiliwa kama mtuhumiwa ambaye anatakiwa kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.

Wabunge hawa pamoja  na  uongozi  wa  juu  wa  CHADEMA  Wako  jijini  Mwanza  kwa  ajili  ya  kikao  cha Baraza  Kuu  la  chama  hicho kinachofanyika leo katika Hotel ya Gold Crest
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani anatuhumiwa kwa kosa gani?
    Halafu lini siasa za Tanzania zitaacha kuwa za kibabe?
    naona CCM kwenye hii nchi inachotaka ni upinzania kufa basi.

    ReplyDelete
  2. kaaa sisiem muna kazi !!!!

    ReplyDelete
  3. MWACHIENI HARAKA SANA ESTER LASIVYO MUNGU ATAWAONYESHA MAKUUA MANA MUMEKUA WANYAMAA WAKUDHARIRISHA WATU

    ReplyDelete

Top Post Ad