AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wawili hao walifunga ndoa nchini Canada jana katika kanisa moja, lakini habari zinaeleza si kanisa Katoliki ambalo Dr Slaa aliwahi kuwa Padri kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita.
Ndoa hiyo imetimiza ndoto za muda mrefu za Dr Slaa ambaye mwaka 2010 aliyekuwa mume wa Mushumbusi alikimbilia mahakamani akidai bado anamtambua Josephine kuwa ni mke wake wake halali.
Mume huyo alidai Dr Slaa alimpora mke wake, hivyo akaitaka mahakama impatie haki yake. Hata hivyo kesi hiyo haikupewa mashiko makubwa.
Misukosuko ya wawili hao iliendelea ambapo mwaka 2012 aliyekuwa mke wake, Rose Kamili alifungua kesi kupinga ndoa hiyo huku akitaka alipwe milioni 50.
Dr Slaa na Mushumbusi wanaishi kwa takribani miaka sita sasa na waliwahi kuanza maandalizi ya kufunga ndoa wakiwa hapa nchini lakini wakashindwa kutokana na mapingamizi hayo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mwenyezi Mungu awaongoze katika maisha yenu ya ndoa. Hongereni sana. Mungu awarinde siku zote. Mwaiyuka muno.
ReplyDeleteJames Kalugira. USA.
dr. slaa nae ni super star, kama bongo movie/flavour
ReplyDeleteMzee msanii hana mpango kabisa
ReplyDeleteMwacheni ale ujana babuuu. Uzee mwisho chalinze ndio kwanza jioni jua linanza kuzama ana uzeee gani? Mzee ni yulee kikongwe hajiwezi kujimudu.Watanzania wanapenda kuwaita wenzao wazeee. Utafikiri hao wanaoutajaa kila wakati uzeee uzeee hawawezi wao zeeekalooo!!! Mmuache ajilie bata. Haloooo bata bataniii eeeeh!!!
ReplyDelete