Idris Sultan Afunguka: Tulifanya Kosa Kubwa Sana Kutangaza Mapema Mimba ya Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maisha ya mastaa duniani hufuatiliwa kwa karibu sana na watu wengi. Kuna kipindi yanakuwa ni asali lakini yanapobadilika huwa ni shubiri.

Mwanzo mahusiano ya Idris Sultani na Madam Wema Sepetu, yalionekana kuvunjika lakini wenyewe wameonyesha kuwa bado wapo pamoja lakini wameamua kuyaficha kwa sasa.

Akizungumza na kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachoruka kupitia EATV, Idris alisema walifanya haraka kutangaza mimba ya Wema.

“Mwanzo tulifanya sana makosa kutangaza mimba ya Wema, culture yetu hairuhusu. Tulitakiwa kuweka wazi kama ingekuwa mimba imefikia miezi minne hivi na kuendelea,” alikiri.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo tatizo utoto unakusumbua na kaulimbukeni,ukikuwa utaacha.

    ReplyDelete
  2. Weye humuamini mwenyezi mungu ukitangaza usitangaze ikiwa umeandikiwa kun fayakun inakuwa zari Ali weka na scan na anafanyiwa na kila aliye mchukiya alia pizza mpaka aliye labour lakini mwenyezi mungu hajataja itokeye si uyo Yuko Europe tour

    ReplyDelete
  3. Nyamazaga basi mbona kila Siku waongea wewe...MFA maji watapatapa

    ReplyDelete
  4. Alikuwa hana mimba huyo basi anataka kiki tu asikose kwenye gazeti.

    ReplyDelete
  5. atake kiki za nn kwa mfano? mahayawani nyie.

    ReplyDelete

Top Post Ad