Millen Magese: Tanzania Hainisupport Kwenye Kampeni Zangu za Endometriosis..Siwezi Poteza Muda....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukweli mchungu na kuusema ni muhimu ili wahusika wajirekebishe. Millen Magese yupo kwenye kampeni kubwa dhidi ya ugonjwa unaowatesa wanawake wengi duniani akiwemo yeye, Endometriosis ambayo kwa sasa inapewa support dunia nzima.

Na wikiendi iliyoisha alifanya matembezi nchini Afrika Kusini ya kampeni nyingine aliyoipa jina #13IsEnoughFindCure4Endo inayosisitiza umuhimu wa kupatikana kwa tiba hiyo. Lakini Miss Tanzania huyo wa zamani, amedai kuwa Tanzania imeshindwa kumuunga mkono. Anadai kuwa Watanzania wamekuwa wakisupport pale tu anaposhinda kitu.


Aliamua kuusema ukweli huo baada ya mrembo mwenzie, Miriam Odemba kumpongeza na kumshauri afanye matembezi kama hayo Tanzania pia.

Ni kweli, ni muda sahihi wa Tanzania kumuunga mkono Millen kwenye juhudi zake hizo za kutafuta tiba ya ugonjwa huo uliomfanya afanyiwe upasuaji mara 13.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aende zake bwana huyu ndo maana hata media za tz hazimpi shavu anajikuta sana kama miriam kamwambia vzr tu...ye alitaka sapoti gani kutoka tz..mahasira yake apeleke hukoo...hatuna shida na kampen yake

    ReplyDelete
  2. Wewe uliye comment saa 9:45am sijui jinsia yako ila I'm praying hard for you,,upitie au moja ya mtu wako wakaribi apitie ugonjwa aluopita Happinesss next time u will feel the pain,,,,Utakuja ku comment negative we will see u there.

    ReplyDelete
  3. ugonjwa huu uko kweli mimi mwenyewe nilifikiri wanawake wanadanganya kuhusu huu ugonjwa sababu si wakawaida leo nimesoma taarifa za habari za ulaya kumbe na ulaya hospitalini madaktari huwa wanawazarau wanawake wenye ugonjwa huu eti madaktari wanafikiri wanawake wenye ugonjwa huu wanasingizia kuwa na maumivu makali wakifikiria wanawake ni mateja tu yaani eti wagonjwa wanataka tu waandikiwe dawa za kupunguza maumivu, pia madaktari huwa wanafikiri wagonjwa wamelala na wanaume wengi ndiyo maana wanapata maumivu makali wakati si kweli. Huu ugonjwa upo na pia hauna tiba.

    ReplyDelete

Top Post Ad