Juma Nature Ataka Show ya Kushindana na Diamond Platnumz Uwanja wa Taifa....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Juma Nature asema yeye ndiye mwenye ubavu wa kupambana na Diamond Platnumz na wala si Ali Kiba,Kupitia Fnl Juma Nature aliniambia kuwa anaomba mpambano huo ufanyike kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani [Shamba la bibi].

“Diamond ndiye anakalia game ya muziki nchini kwa sasa, na muziki ni furaha basi nataka kupambana naye kwenye uwanja wa Taifa na mashabiki wakitazama huku kusema nani ni mshindi, Diamond ndiye kaiteka game kuliko Alikiba na kama viongozi wapo tayari kuunga mkono na kutengeneza muziki mzuri basi waandae tamasha hilo”

Pia Nature amezungumzia kuhusu kufanya kazi na Said Fela ambapo majuma kadhaa yaliyo pita Fela alizungumzia kuhusu kufanya kazi na Juma Nature nakusema kama ikitokea ataweza kufanya naye kazi.

”Mimi sina tatizo lakini maslahi kwanza, kama kufanya naye kazi itabidi tuandikishane mkataba kwanza”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utamgaragaz vibaya wewe ni nature tunakukubali, na hawezi kubal kwan mwenyew anajua kwamb utampatish aibu mbel ya watu na aanze kulia kam jins alivy fany kweny show mmoja.

    ReplyDelete

Top Post Ad