Nay wa Mitego Afunguka..Siumizwi Kichwa na Wasanii Wanao ni Ponda Ninachofanya, Naumizwa Kichwa Nikijua Nimepoteza Shabiki Hata Mmoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego Amezidi kufunguka baada ya wimbo wake mpya shika adabu yako kuwaponda wasanii na wengine kufunguka kumlaumu...

Ameandika Haya:
Siumizwi kichwa na wasanii wanao ni Diss, nachanganyikiwa nikijua nimepoteza Shabiki wakweli ata Mmoja.!! Sitaki kua Msanii mkali Kama watakavyo wao, Mashabiki wangu wana Enjoy ninachofanya najivunia kuwa na Fans wengi. Wanajisifia Ukali na wanakufa njaa. #ShikaAdabuYako Imewapa Stress Daaaah
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad