WEMA Sepetu Aamua Kufunga Duka lake la Kuuza Lipstick za Kiss by Wema Sepetu...Afunguka Sababu za Kufunga Duka Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wema Sepetu Amefunguka haya kuhusu Kufunga Duka lake la Kuuza Lipstick za Kiss by Wema Sepetu lililoko Mwenge...


Wemasepetu #KissByWemaSepetu ndio habari ya mjini na nimefarijika kuona jinsi mnavyoniunga mkono...nashukuru sana!

Sasa kwasababu mawakala ndio njia haraka na nafuu zaidi ya kuwafikishia KISS popote pale mlipo, kuanzia mwezi huu March 2016 tunaweka nguvu zaidi katika kuongeza na kuwahudumia mawakala.

Kwa mwendo huo basi tunabadilisha mfumo wa biashara namna hii:

1) TUNAELEKEZA NGUVU ZOTE KWENYE BIASHARA YA KISS. Hii ni bidhaa ya Kitanzania na kwa uzalendo, inabidi tuikazie buti hadi nayo ije kuuzwa nchi za nje kama vile bidhaa za nje zinavyouzika kwetu.

2) MAUZO YA REJA REJA HAYATAFANYIKA DUKANI KWANGU TENA. Duka litageuzwa kua ofisi ya mambo mengine kuanzia kesho ili kuwapisha mawakala waliotuzunguka, kusiwe na mgongano kibiashara kati yao na sisi. SISI TUTABAKI KUUZA KWA MAWAKALA TU NA WAO WATAWAUZIA NYIE.

Vitu vingine vyote VINABAKI VILE VILE!

Bei ya jumla bado elfu 15, bei ya reja reja bado elfu 20, mawakala bado wanahitajika MIKOA YOTE, ile fursa ya kuanza na mtaji mdogo wa elfu 90 ipo pale pale, na wakala mpya ukituma picha zako utarushwa kwenye page yangu kama kawaida.

Namba za simu bado zile zile: 0789-201-532 na 0759-215-533.

Tofauti ni kwamba, kuanzia kesho tarehe 2/March/2016, BADALA YA KUJA DUKANI, UTAPIGA SIMU KUWEKA ORDER YAKO YA MZIGO WA JUMLA, ALAFU UTATUMIWA AU KULETEWA kwa gharama nafuu.

Kwa ufupi: KISS sasa ni ONLINE BUSINESS 

Kama unataka kununua reja reja utumie KISS mwenyewe, uliza tu kwenye comments...#TeamKaziTupoKazini na tutakujibu haraka ujue ukanunue kwa wakala gani
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lipstick gani ya kuuzwa nje? bado haina kiwango zipo lipstick mama utachekwa

    ReplyDelete
  2. Go wema goooo safi haya ndo tunataka kusikia mamy sio upuuzi wa skendo

    ReplyDelete
  3. Weka ya kwako yenye kiwango muache wema na yakeeeeeeee,,,,,Goooo wemaaaaaaa kisssss for ever

    ReplyDelete
  4. Mimba imempendezaaa.... Leo Idriss yu wapi? When r the twins coming?

    ReplyDelete
  5. Haya sasa ndio mambo ya maana sio yale maujinga ya nani kamgonga nani?? na sijui nani kazaa na nani na anatoka na nani na nani kapigwa chini? Hizo madili za kijinga, picha kazi na nitakukuribisha rsmi sasa singida maana sasa unaanza kuwa na akili.

    ReplyDelete

Top Post Ad