AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Makubaliano hayo yatawezesha mashirika ya ndege ya nchi zote mbili kufanya safari za moja kwa moja na kukuza sekta ya utalii.
Wakati hayo yakijiri, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi imethibitisha kwamba imeagiza ndege za kisasa kutoka nchini Canada ambazo zinatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku 60 (miezi miwili ijayo).
Kwa kuanzia, awamu ya kwanza ya ndege hizo zitafanya safari za ndani bara na visiwani kabla ya kujitanua ndani na nje ya Afrika.
Shime watanzania, tusimame kidete na serikali yetu kuhakikisha kwamba tunaachana na unyonge wa kutumia ndege za mashirika ya nchi jirani. Hii ni fursa nzuri ya uwekezaji katika sekta ya chakula, nishati, vinywaji n.k.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hapo sawa maaana tutasafiri na ndege zetu
ReplyDeleteJamani kuandika Ni fani..je Quwait Ina manisha Kuwait??? Naomba tukiandika tuwache madoido.. Kwani inaweza poteza maana Na kusudio.... Kuhusu kuinguza ndege Ni jambo zuri Sana lakini tumejozatiti vipi toka TCAA mpaka operator Air Tanzania nrw board of directors Na logistical radiness? Maint and threshoulds ith conjuction of airworthiness limitations.. Is our home work done??!! we can maintain and run....We are there in the event of consultation if required to support and achieve the drems of Hapa Kazi Tu with JPJM.....ENDELEA BABA TUPO PAMOJA
ReplyDeleteHaya itabidi wazima wa mawasiliano na uchaguzi a under tume ya watu maharishi na useful way haya mambo ambayo pale a walid tulichemsha! !! Lakini with JPJM Nathan I mambo anaweza kutapika sawa kutoka na na utashi anao tuonesha wa RIGHT PERSON ON THE RIGHT SEAT..HAPA KAZI TU
Deletesi unaonaje Fast jet hasimami yake!!! Basi yetu hii..itabidi tuliza titi. ..na kulifanyia kazi ipasavyo
Delete