Tazama Hapa Picha Alizoweka Zari Hassan Zikionyesha Jinsi Wanavyoenjoy na Diamond Katika Tour yao Inayosemakana Wametumia Million 100

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

A Tanzanian site recently revealed that Diamond Platnumz’ tour to Europe specifically Germany, Norway, Sweden, Belgium, Finland and Denmark would cost him a whopping 100 Million!

The Bongo superstar took his family including his mum Sanura Kassim, daughter Tiffah and baby mama Zari along with him for his tour. Zari has been sharing some sights and sounds from their Europe tour. But perhaps the most touching, heartwarming and even envy-inducing were these adorable photos of her family that were taken in Sweden.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema hapo donge linamuuma anatamani hapo angekuwa yeye he he. Karibuni Sweden Diamond na Zari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unawashwa mpaka umtaje mtoto wa watu, kakwambia ???? Watanzania bwana

      Delete
  2. Aliwahi kupelekwa Songea na kuchezeshwa shoo stejini. Na kwenye boti la kigoma. Leka tutigite.. The so called mizes tu bi. Yuko ununio kwenye nyumba ya kupanga. Kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  3. kumbe Wema alipelekwa Songea na boti he he mwenzio Zari kapandishwa pipa au ndege mpaka ulaya very big different he he chezea Zari wewe

    ReplyDelete
  4. acha unafiki, kwenda sweden kwa bibi masumbuko mnaona dili. Wema analipwa kwenye show. bibi anafata uboo tuu. nani mjanja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama huyo michirizi (mama ake Idriss wa kufikia ) analipwa kwenye shoo mbona alikuwa anaiba umeme na maji ? Na makalio yake yaliyosambaa kaa uji wa magereza.

      Delete
  5. Zari lazima aspoiliwe kamzaa Tiffah. Wema kamzaa nani?

    ReplyDelete
  6. hapo mkumbuke kuwa ela inayotumika ni ya bibikizee siyo ya domo, manake mmeshaanza kumpa ujiko mtanzania mwenzenu,.. alishawaambia she can u cant!!!!! na ameweza kumuoa!atawe ukimchekea atakuoa.!

    ReplyDelete
  7. Wema akishindana na Zari Wema ataumia bure, maana sasa hivi mambo hayamuendei vizuri Wema, kaishia kwenye kiki tu, mara alisema atazaa na Luis yule kutoka Namibia, mara ameshika mimba ya Idris kumbe ni mimba fake, mara ile nyumba aliyofukuzwa ilikuwa yake kainunua kumbe ni nyumba fake du wema hayo mambo unayasema kwenye social media huoni hata aibu ndiyo maana hata mama yako anafikiri kuwa umechanganyikiwa, wewe ni msichana mzuri ungepata mtu wa kukuoa lakini kwa tabia yako ya kubadirisha mabwana mbele ya jamii na mbele ya social media sishangai wanaume wanakuogopa, msiseme kuwa nampendelea zari kuwa na yeye anafanya hivyo, siyo hivyo Zari alishawahi kuolewa alipoachana na mume Wake ndiyo akaanza kuishi maisha yake mwenyewe na ni kawaida tu mpaka alipompata Diamond akaamua kutulia na Diamond

    ReplyDelete
  8. WIVU UNAWASUMBUA KWELI KWANI MWANAMKE HAWEZI KUMTUNZA MWANAUME ACHA USHAMBA NA MFUMO DUME HATUUTAKI. ZARINA DIAMOND MKO BOMBA SANA WAACHENI WASEME USIKU WANALALA.

    ReplyDelete

Top Post Ad