Waziri January Makamba Ajibu Tuhuma za Ufisadi Dhidi yake Zilizowekwa na Mange Kwenye Mtandao..Msikilize Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Mange Kimambi Kulianzisha Mtandaoni Kuwa January Makamba na Dada yake Wamehusika katika ufisadi na utapeli kwa mtaliano waliomuahidi kumtafutia deal la bandari Bagamayo... Msikilize hapa:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Audiooo mbayaaaa pumbavuuuu kwani hamuwezi kuweka vitu vinavyoeleweka mixxeeewww...yani mtu hata haeleweki anaongea nn

    ReplyDelete
  2. huyu mzungu alitakiwa aende mahakaman
    mange kakurupuka Pisces ndio zao kuropoka hovy hovy

    ReplyDelete
  3. Mhhh mbona maelezo yake hapo anajichanganya sanaaaa???inaonekana kabisaaa wamemtapeliiii,magufuli please tumbua jipu hilooo

    ReplyDelete
  4. Mwiziiii huyooo rudisheni pesaaa,utapelii tuuu nyooooo

    ReplyDelete
  5. mtu anadai kazulumiwa dola million moja baada ya kwenda mahakaman anaidai through social network
    kuna uwalakini apo

    ReplyDelete
  6. Mange kakurupuka hakukurupuka haijalishi. Serekali lazima ijijengee utaratibu wa kuchunguza kwa makini kila habari zinazotolewa kuhusiana na viongozi wa nchi. Haijalishi habari imekujaje kama January anahusika awajibishwe. Hii ni hatari na je ni mangapi mengi mabaya yaliyofanywa na viongozi? Inashangaza sana eti January kukana hamjui huyu mtu ila huyu mtu anahusika na dada yake.Hii inafanya kusihitajike maelezo ya mange kaletaje hii habari bali uhusiano wa January na huyu mtu.Halafu dada mtu anapata wapi dola elfu ishirini na tano? Hii ilikuwa mkopo toka bank au? Ni aibu sana eti mtu anadai proudly walikuwa wapenzi.Acheni upuuzi.Mwisho wa kutafuna pesa za wananchi umefika. Ni kula kwa jasho na sio kwa mujibu wa position yako katika kazi.

    ReplyDelete
  7. Huyu makamba ni mbayaa sana. Kwanza wanalitia aibu Taifa kwa utapeli kwa kutumia mgongo wa cheo chake serikalini. Ni corruption tupu watu kama hawa ni shidaaa kupewa dhamana za uongozi kwenye serikali

    ReplyDelete
  8. Anaonekana yeye na dada yake ni watu wenye tamaa sanaaa. Na hawa wageni washajua sisi wafrica katika uongozi tuko corrupt kwa hiyo wanawajia kwa njia zote wakishasikia wana nadaraka serikalini.iwe kwa mapenzi rushwaa. Alimradi mgeni atimize lengo lake na hawa kaka na dada ni corrupt na mzigo kwa Taifa maanake wanatumia hadi na cheo aluchostaff baba yao. Afrika. Tanzania ni mmjawapo Za nchi ambazo ni too much corrruption. Katka uongozi. Ungozi mmbovu na ile serikali iliyotoka madarakani daaa wangeimaliza nchi walahii. Kikwete na serikali yake ilikuwa too much jamanii. Mbona hata magufuri baba ana kazi sana ya kuliweka Taifa sawa na kulisafisha. Yaani kuna watu wanataka uongozi na uongozi hawauwezi wanaishia tu kuharibu mataifa yao. serikali ilijaa wizi ufisadi rushwaa kila kitu ovyoo kabisa. Mahosptali ni shida dawa hamna. Miundo mbinu ya kujikongoja. Kila sehemu zilikuwa ni uozo. Mtu mmja atajurundikia mali za wizi mpkaaa

    ReplyDelete
  9. Inaonyecha wazi Makamba anahusika asitufanye ss watoto wadogo

    ReplyDelete
  10. AMEKURUPUKA DEMU SASA NA USHAHIDI UMEJIFUTA, MJIFUNZE KWENDA UNDERGROUND ILI WAKAMATIKE KIRAHISI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mange alitakiwa akusanye ushahid wa kutosha
      ttz mange ana ishu zake binafsi na akina makamba

      Delete
    2. Ushahidi umejifuta kivipi!!? lazima atakuwa nao mwingine, huyu makamba aache kuropoka sana kama kala makande wakati yeye mwenyewe mchafuuu hafai!!!

      Delete
  11. Hii familia ni ya matapeli watupu,wana dada yao mmoja anaitwa Sofia Makamba ni tapeli wa kutupwa bongo,mahakama zote za Daresalam ana kesi,eti wanasema sio mtoto halisi wa makamba,lkn kwa ufupi ni mtu wao tena antumia jinahilo la familia ya Makamba,nachoshangaa hawamchukulii hatua km sio mtu wa familie yao,angalau kumuonya kutumia hilo jina km ni kweli c mtuwao

    ReplyDelete
  12. Mmh haeleweki, mbona yeye na dada yake wame panick mbaya? Mange ni mpumbavu na mwenye IQ ndogo ila kwa hili kafichua jipu lazima tuumpe befit of doubt.

    ReplyDelete

Top Post Ad