Z Anto Awataja Wasanii Waliowahi Kutumia Jina Lake Kujinufaisha Akiwemo Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao cha binti kiziwi,Z Anto amefunguka na kusema amewahi kupata matatizo kutokana na watu kulitumia jina lake vibaya kipindi bado anafanya vizuri kwenye muziki.

Z Anto amesema kuwa watu wengi wamewahi kufanya hivyo akiwamo Diamond na msanii mwingine wa Sharo Baro ambaye anamjua kwa sura tu.Z Anto ameweka wazi na kusema kuwa kuna mtu huko Mwanza aliwahi kujifanya yeye ili apige show na kuchukua hela ya watu kisha kutotokea kitu kilimletea matatizo yeye.

“Miongoni wa watu ambao nilikuwa na majina yao ni msanii mmoja alikuwa anatokea kampuni ya wa Sharo Baro sikumfahamu ni nani ila nimeshawai kumwona,mtu wa pili Diamond,nasikia jamaa ameshaburuza sana watoto wa kike kupitia jina langu ila respect kwake” alifunguka Z Anto.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uongo tuu unatafuta kiki kupitia Diamond

    ReplyDelete
  2. Hello uliyocomment 2,2016 @11:54 kwa kutojuwa kila kitu ni kubisha tu z anto hatafuti kiki

    (PUBLISHED ON 15APRIL2015 DIAMOND AKIRI KUWAHI KUJIFANYA Z ANTO)
    KATAZAME HIO

    ReplyDelete
  3. Hello uliyocomment 2,2016 @11:54 kwa kutojuwa kila kitu ni kubisha tu z anto hatafuti kiki

    (PUBLISHED ON 15APRIL2015 DIAMOND AKIRI KUWAHI KUJIFANYA Z ANTO)
    KATAZAME HIO

    ReplyDelete

Top Post Ad