Zanzibar Kimenuka...Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Hamdani Omar Makame

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari kutoka visiwani Zanzibar zinaeleza kwamba, nyumba kadhaa ikiwemo  ya Hamdani Omar Makame ambaye  ni Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar  zimelipuliwa kwa mabomu.

Habari hizo zinaeleza kwamba, Jeshi la Polisi linaendesha kamata kamata ya watu waliohusika kwenye tukio hilo  ambapo  mpaka  sasa  watu 31 wametiwa  mbaroni.

Tukio hilo limezidisha hali ya wasiwasi visiwani humo ambapo ni siku 5  tu  zimesalia  kabla  ya  uchaguzi  wa  marudio  kufanyika
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi nlitaka na yeye mwenyewe pia limpate ilo bomu.

    ReplyDelete
  2. nilipopata taarifa hizi tu nlijiuliza kwann na yeye hajaripuliwa mana wanawatesa wananchi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad