Ahadi ya Rais Magufuli Kuonyesha Salary Slip ya Mshahara Wake Akitoka Likizo yakumbushiwa....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdau mmoja wa ACT Wazalendo  kutoka Kibaha ajulikanae kama Habib Mchange ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Facebook kuhusu ahadi ya Rais Magufuli kuonyesha Salary Slip ya Msahara wake:


"Hivi Rais ‪#‎MAGUFULI‬ bado yupo likizo au amesharudi kazini Magogoni?.
Mbona alituahidi kutuonyesha ‪#‎SALARY‬-‪#‎SLIP‬ yake anayolipwa 9.5ml. Kila mwezi kama mshahara na Mpaka leo Kimya?.
#Magufuli Baba ahadi ni deni. Tuwekee wazi kale ka salary Slip kako ili tuone unavyoyaishi maneno yako.
Yawezekana umesahau na wanaokuzunguka wanaogopa kukukumbusha wanahofu utawatumbua.
Kwetu sisi ‪#‎ACtWAZALENDO‬ ni Kusema ukweli tu bila kumung'unya Maneno.
‪#‎AuNaloJipu‬?" By Habib Mchange
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AMA kwweli.. Kisalary slip cha magufuli kitakusaidia bini wewe kama ai umbea!!! Jamani hii Ni private and Confidential. . Kama alikosea na kutoa ahadi. Tafadhaki nakuomba ubatilishe. Hiyo ahadi...sisi hatyitaki kuiona ianze kuzua hoja kama zitto anavyo penda akendo. Na kuanzisha unnecessary mijadala to loose focus ya maendeleo ya nchi. Ndio wale wale kina Fulani.. Mwacheni JPJM Atufanyie kazi na sisi Yuko radhi kumlipa anachostahiki na zaada kicho jumps motisha zaidi kwa ajili he is an achiever..Hapa kazi ru

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hapo umesema la maana..kwani Ni yetu..haitysaidii na mijadalaa isiyo na Maana so ya Tanzania yetu mpya.. Siasa nyingi hatutaki...tunataka maendelleo na kuondoa ubadhirifu...Barida mwangu..JpJM..TUNAMPA MSHAHARA BAADA YA KULIZIKA NA KAZI YAKE..

      Delete
  2. naungana na wewe msemaji ulopita hapo juu.. Tuendelee na kazi kwa ajili ya maendeleao ya nchi yetu.. Salary slip ya Mheshimiwa JPM haitomsaidia chochote anaetaka kuiona!! Hao wanaosema kuhusu mshahara wa Rais, wao wameonyesha salary slip zao? Bunge limerudisha pesa kwa Mh Rais ili zifanye kazi nyingine kuliko kutumika "hovyo", haoa hao wanalalamika kwanini pesa zimerudi.....

    ReplyDelete

Top Post Ad