Breaking News :Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.


Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.


Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo;


    1.Arusha -    Richard Kwitega

    2.Geita -      Selestine Muhochi Gesimba

    3.Kagera -     Armatus C. Msole

    4.Kilimanjaro -     Eng. Aisha Amour

    5.Pwani -      Zuberi Mhina Samataba

    6.Shinyanga -   Albert Gabriel Msovela

    7.Singida -     Dr. Angelina Mageni Lutambi

    8.Simiyu -    Jumanne Abdallah Sagini

    9.Tabora -   Dkt. Thea Medard Ntara

   10.Tanga -    Eng. Zena Said


Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo;


1.Kigoma -   Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)

2.Morogoro -  Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)


Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni kama ifuatavyo;


    1.Dar es salaam -  Theresia Louis Mbando

    2.Dodoma -     Rehema Hussein Madenge

    3. Iringa -   Wamoja Ayubu Dickolagwa

    4.Katavi -    CP Paul Chagonja

    5.Lindi -   Ramadhan Habibu Kaswa

    6.Mara -   Benedict Richard Ole Kuyan

    7.Manyara -     Eliakimu Chacha Maswi

    8.Mbeya-    Mariam Amri Mjunguja

    9.Mtwara -    Alfred Cosmas Luanda

   10.Mwanza -  CP. Clodwing Mathew Mtweve

   11.Njombe -   Jackson Lesika Saitabau

   12.Rukwa -   Symthies Emmanuel Pangisa

   13.Ruvuma -   Hassan Mpali Bendeyeko


Makatibu Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam.


Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU

Dar es salaam

25 Aprili, 2016
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli I like �� your style.. Even the pose..you mean Business..muumgi akuweke na akulinde...mwenye kuvurunda...Benchi.. High achiever will be rewarded....Hapa kazi Tuu.. Usituangushe Baba .. Tumechoka sisi wazee Wako..tutengenezee nchi ambato kizazi kijacho kitakukimbuka...hatumdhulumu mtu sala hatutaki mtu atudhulummu kimahesabu na uchakachuaji.. Nchi Umepata mwenye uchugu mayo ambaye amesikia adha ztu wananchi..JPJM Monittor them for result oriented individuals and evaluate them too in progress ya kutufikisha safari yetu tulioianza...JPJM TUKO BEGA KWA BEGA..MUNGU NDIYE AJUAE MAOBI YETU JUU YAKO..UTASHINDA TUU...

    ReplyDelete

Top Post Ad