Breaking News..Radio Clouds FM Yawarudisha Watangazaji Phina Mango na Masoud Kipanya Kazini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana kulikuwa na sinto fahamu baada ya tetesi kusemekana kuwa watangazaji maarufu wa kipindi cha Power Breakfirst cha Clouds FM Gerald Hando na PJ Wamefukuzwa kazi, leo tetesi hizo zimezidi kushika mizizi baada ya watangazaji wa zamani wa kipindi hicho Phina Mango na Masoud Kipanya walioacha kazi miaka kadhaa nyuma Kushika nafasi zao...Muda huu nao andika hii habari wako On Air wanatangaza Sambamba na Babra na Fredwaa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. April fool...hahahaaa...thanks for some bullshit!..

    ReplyDelete
  2. siku ya wajinga mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Hata hao pia waliondoka clouds kwa mizengwe

    ReplyDelete

Top Post Ad