FID Q Ajibu Tuhuma za Kutaka Kumuoa Salama Jabir wa Mkasi TV

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.

Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo sahihi.

“Sio kweli … hizo stori niza uongo,” Fid Q alimjibu mtangazaji wa kipindi hicho, Diva na baada ya hapo aliingiza mada nyingine na Diva kuachana na swali hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Salama kweeli ulitembea na Fid Q? Salama wewe ni mrembo sana tena una akili sana unaweza kupata mwanaume mrembo kuliko Fid Q, hana hata sura

    ReplyDelete
  2. Heee hizi akili za uciku tena,mwanaume sifa majukumu cio sura,

    ReplyDelete

Top Post Ad