Kuna watu ndani ya CCM hapendi juhudi za Mh Magufuli.........

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watu hao wanamshahuri Mh Rais Magufuli vibaya hasa katika kipindi cha mgogoro wa Zanzibar walimshauri asiingilie mgogoro huo huku wakijua kuwa wahisani watajitoa hili waone serikali anayoiongoza inamaana nahii awaliifanya makusudi kabisa wakijua itakuwa hivyo!
Wao hapo wanafurahia moyoni kuona serikali inayumbishwa na wahisani.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NI KWELI CCM KUNA WANAFIKI NA WENGINE NDIO WALE AMBAO WALIJIPANGA KUONDOKA NA MWAPACHU,LAKINI HILO SIO KIGEZO KWAMBA ETI WALIMSHAURI MAGUFULI KUHUSIANA NA ZANZIBAR NA ETI SASA WANAFURAHI KUONA TUMESITISHIWA MISAADA,KWA NINI USISEME KWA KIKWETE?KWANI HUO MGOGORO MAGUFULI SI ALIUKUTA?KAMA KUINGILIA SI ANGEINGILIA KIKWETE,MBONA HAWAKUMLAUMU?MBONA WALIKUWA WAENDELEAZA MISAADA?MBONA BADO WANAMPA KIKWETE MIALIKO KILA LEO?KIKWETE NA MAGUFULI WANA AKILI TIMAMU NA WANAJUA NINI CHA KUFANYA.WAHISANI WANATAKA KUTUCHANGANYA AKILI,WANATAKA KUTUGAWA KWA MASLAHI YAO.TANZANIA TUMEBARIKIWA KWA VITEGA UCHUMI VINGI,TUFANYE KAZI,TUACHE KUTUMIA NJIA ZISIZO SAHII KWA KUINUA UCHUMI WETU.TANZANIA AKILI MU KICHWA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau,
      Watanzania hatutaki kudadisi na tunapenda sana njia za mkato.
      Hao tunaowaita wahisani walishaona siku nyingi sana TZ ni nchi tajiri na ndio maana wanajisogeza kwa njia nyingi ikiwemo urafiki na misaada,matokeo yake ndio tunaona wachina wako kila kona ya Tanzania na wengine tunaishi nao uswahilini na bado wako kutuibia nyara na vingine kupeleka kwao.Kweli Wa-TZ tuamke,tuache kushabikia,tufanye kazi.Mungu ibariki TZ,Mungu wabariki viongozi wetu.

      Delete
  2. Hasa wale mafisadi. Walio kujilimbikizia mali kwa njia za wizi na mikataba ya uongo uongo na uzandiki kibao na wizi wa kodi za wananchi yaani ni wale wenye uchafu wa kila aina. Na walikuwa wanapenda katika jamii zao waonekane kama miungu watu.

    ReplyDelete
  3. Hiyo misaada yenyewe inatolewa kwa masharti ya ajabu ajabu eti ni lazima mtambue ndoa za jinsia moja......astaghafirullah!! Tupo tayari kula 'NYASI'...............

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si mmezoe vya bure kuna vya bure miaka hii mnacha kufanyakazi kwa utii na uwaminifu kazini bila wizi ufisadi mmekalia wizi. Ufisadi. Raisi anajitahidi majungu kibao. Mnataka kumwangusha. Kutwaa misaada misaada. Manina zenu. Mtaona karne hii wenyewe kwa wenyewe mpka sodoma na gomora iamie kwenu. Ninyi mijitu miyesi msio na huruma wala upendo. Mkiona wenyewe kwa wenyewe. Na ongezeko la watu duniani litapungua. Na ubaguzi wa kubaguana tutaacha maanake wote tutakuwa hayaawan. Na kujilani wenyewe. Tangu lini. Mwanaume akaoa mwanaume.haya sasa

      Delete

Top Post Ad