Mtazame Kasesera Akizungumzia Picha zake Zinazosambazwa Mitandaoni na Kusemekana Anajipendekeza Kwa Magufuli...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tazama hii video na wale waliokua wanamwandama wanyamaze wamuache DC wa watu afanye kazi.

Richard Kasesela ukitaka watu wasikufuate fuate jaribu kuachana nao binafsi nimekuelewa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtu anafanya kazi kwa kujituma mnasema anajipendekeza
    watanzania bhana Mungu awasaidie tuu
    endeleeni kuka instagram msubiri misaada toka ulaya
    safi sana kasesela Mungu akubariki

    ReplyDelete
    Replies
    1. akina mange kimambi hao kazi kulilia misaada ya wazungu fyuuu
      kisaa anaishi marekani shenziii na ukae uko uko shetani wew

      Delete
  2. Ndio tatizo letu sisi watu weusi kwanza si watu wa kujituma. Na mtu akionyesha kujituma midomo itachongolewa kama baba ufudu. Ndio maana maendeleo hatuna. Alafu kutwa kupiga kerere tunataka hela za misaaada wanatuonea tu kwa sababu hizi na zile yaani tuko stupid people mpka michosho. Hao wanaotoa misaada si wanajituma wanafanya kazi. Ndio maana wacha watudhalau na kutuita watu wa dunia ya tatu kwa kuwa ni wajinga sijui lini tutaamka loooh!!!! Bara jeusi hili mpaka karne hii

    ReplyDelete

Top Post Ad