WAZO HURU: Mliokuwa Mnasema "Tatizo Siyo Mtu, Tatizo ni Mfumo" Mnasemaje sasa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasalaam, Wakati wa tawala zilizopita watanzania wengi waliulalamikia mfumo wa uendeshaji wa serikali chini ya chama cha mapinduzi. Wengi walisikika wakisema kwa mfumo huu hata aje malaika kutoka Mbinguni hakuna mabadiliko katika taifa letu.

Rais John Magufuli, tayari amebadilisha baadhi ya mambo hapa nchini na hata ule utamaduni wetu wa chukua chako mapema unaanza kuondoka taratibu. 

Wale wenzangu mnasemaje sasa? Kwa sababu hata magufuli mfumo anaoutumia ni ule ule wa ccm

By Tawa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani bado tupo kwenye kampeni?mbona ndio kwanza anaanza tusubiri basi na kampeni zimeisha kitambo.

    ReplyDelete
  2. hahahahah! Unajisahaulisha sio??? Hilo ni dongo limetupwa gizani, atakaye sema 'yala' limempata. Waloambiwa hayo maneno wenyewe wanajijua, waliyasema hadharani bila kificho wala haya, tena kwa uhakika na kujiamini, hivi sasa wamebaki wadogo kama 'nukta', wamebakia kuulizia mara mshahara, mara posho za JPM, hawana jipya.........HAPA KAZI TU, MAJUNGU KWENU

    ReplyDelete
  3. Saafiii. Nadhani mbali na mtu, pia mfumo bado unahitaji kubadilika. tuangalie ya Zanzibar, Magufuli na uthubutu wake wote lakini pale ka fyata mkia, maana mfumo bado uko kazini. na ninaamini, katika mfumo huu uliopo, Magufuli hawezi kugusia swla la kiba mpya kabisa! ( nazungumzia katiba ya wanachiile ya Warioba, siyo ile pendekezwa) mana hiyo ndo kichaka chenyewe cha hao ma bwana kuondelea kuwepo madarakani. hiyo iking'oka tu. nchi tumeikomboa. Magufuli hana uthubutu huo. so my take ni kwamba mfumo bado ndo tatizo.

    ReplyDelete

Top Post Ad