Ndugu wa Marehemu Sajuki Afungukia Talaka ya wastara Aliyopewa na Mbunge Zanzibar....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUTOKANA na madai ya kupewa talaka na mumewe Sadifa Juma, ndugu wa aliyekuwa mume wa Wastara Juma, marehemu Sadick Kilowoko ‘Sajuki’, Mohamed Kingochi ‘Mdidi’ amefunguka kuwa ameumizwa na suala hilo kwani walitegemea ndiyo amepata mtu wa kumpa faraja.

Akipiga stori na paparazi wetu, Mdidi alisema wakati Wastara anaolewa walihuzunika ila siyo kwamba hawakutaka aolewe bali ni kutokana na mazoea kwamba watakosa kuwa naye karibu.

“Madai ya talaka ya Wastara yameniumiza sana kwani tulikuwa tunatatarjia akishakaa vizuri kwenye ndoa tuendeleze Kampuni ya WAJEY lakini tangu ameolewa, mambo ni vululuvululu na hili la talaka nalo ndiyo linazidi kutuumiza,” alisema Mdidi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wastara kichefuu chefuu tushakuchoka bana unatia aibuu tuuu!!!tulia

    ReplyDelete
  2. nafikiri huyo mzanzbar alitaka Wastara ampe tigo, maana wanzanzibar kwa tigo ndiyo wenyewe, lakini Wastara alikataa katu ndiyo akaona heri ampe taraka mapema sana.

    ReplyDelete
  3. masikini wastara sijui alipofikiri mbunge ndio akajua kapata kumbe kavamia kiwewe? ni aina gani ya upendo huo aliokuwa nao huyo mbunge, ghafla ndoa!!! ghafla talaka.!!! duuuuhh ukisikia utapeli wa mapenzi ndio huo no love hapo,,,. pole sana kwa kweli.

    ReplyDelete
  4. Mdau ulieyesema wazanzibari wanapenda tigo kapige mswaki ice na ulegee kabisa nimeolewa na mzanzibari mwaka wa kumi na sita Mimi ni mpare sijaombwa tigo hata siku moja labda wewe ndie unaoliwa tigo na mzanzibari ujisahihishe

    ReplyDelete
  5. amekuchungulia amekuchafuachafua na majasho yake amekuharibia amekuchanganya na mkewe halafu amekuacha na aibu. kweli ubinadamu kazi. we shemeji unajitafutia laana kwa kumdhalilisha mlemavu.

    ReplyDelete
  6. Mdau ulieyesema wazanzibari wanapenda tigo kapige mswaki ice na ulegee kabisa nimeolewa na mzanzibari mwaka wa kumi na sita Mimi ni mpare sijaombwa tigo hata siku moja labda wewe ndie unaoliwa tigo na mzanzibari ujisahihishe

    ReplyDelete
  7. wewe mdau uliyesema nikapige mswaki, nenda kapige mswaki mwenyewe kwani ukiliwa tigo utasema? ninavyojua waislam wengi wanapenda tigo kwanza mimi siishi Zanzibar ninaishi ulaya, na hapa ulaya nilikutana na mwarabu mmoja muislam akaniomba tigo nikamfukuzilia mbali kutoka nyumbani kwangu, nilimshiti nikamwacha kwenye mataa mpaka leo athubutu kunipigia simu sababu siji kuanana nae tena alinitia kichefu chefu

    ReplyDelete

Top Post Ad