Nuh Mziwanda Afunguka jinsi Alikiba Alivyomliza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza.

Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa.

Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye game.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni hakika mafanikio yako na tunayaona endelea kaka you are steel young you have long way to go utapata ila you have to up your socks lakini Hong erasing sana nimeipenda wimbo sana na anapo changia king KIBA ooh very nice

    ReplyDelete
  2. ni hakika mafanikio yako na tunayaona endelea kaka you are steel young you have long way to go utapata ila you have to pull up your socks lakini wimbo nimeupenda sana na anapo changia king KIBA ooh very nice sauti YA KIBA Mungu amzidishie

    ReplyDelete

Top Post Ad