Q-Chilla 'Nataka Kufanya Wimbo Mkubwa na Diamond Platnumz Ambao Haujawahi Tokea'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Q-Chief amedai kuwa anataka kufanya wimbo mkubwa na Diamond.

Ameiambia Bongo5 kuwa mazungumzo kwaajili ya kufanyika wimbo huo yapo sehemu nzuri.

“Diamond ana management yake, na he is big to his own way that huwezi tu kukurupuka ukasema tunafanya kazi,” anasema.
“Licha ya kwamba mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao anawaadmire sana na mimi ni mmoja kati ya mashabiki wake, napenda kazi zake hasa this latest ambayo amefanya na AKA naona improvement na changes, mimi napenda mtu ambaye anabadilika ambaye habaki pale pale, napenda mtu ambaye anafunguka zaidi,” ameongeza.
“Nikimtumia message anarespond vizuri sana, kitu ambacho ananipa moyo zaidi. Lakini mimi na Diamond hatutakiwi kufanya kazi nyepesi, tunatakiwa kufanya kazi kubwa, kazi yenye uzito, kazi yenye ubora, kazi yenye kumbukumbu, kazi ambayo itaishi, itaingiza pesa na itamtoa Q-Chief kutoka hatua moja kumpeleka hatua nyingine. Kwahiyo tusubirie kwasababu nataka kuandika kitu kizuri.”

Bongo 5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana Q-Chilla......mashabiki tunasubiri hilo dude lileteni haraka sana. Lazma tuwatumie wazawa wenzetu kuendeleza muziki wetu sio kupigana majungu tu na kutaka mashindano yasiyo na tija.....Tusua

    ReplyDelete
  2. Watu wanaojua muziki utawajua tu katika uchambuzi wa masuala ya kimuziki. Kiukweli nilipousikia wimbo wa u make me sing nilisema Diamond hapa amefanya kazi nzuri zaidi nadhani ndiyo wimbo ambao upo unique ukilinganisha na nyimbo zake zingine ambazo huwa zinashabihiana kwa kiasi kikubwa. Azidi kubadilika zaidi na hiyo ndiyo ishara ya ukomavu kimuziki! Q Chilla ni msanii mzuri mwenye uwezo mkubwa natumai wakitulia watafanya kazi nzuri sana

    ReplyDelete

Top Post Ad