Upendo Peneza (CHADEMA) Amlipua Rais Magufuli, Amtaka Alipe Kodi Kutoka Kwenye Mshahara wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera dada

    ReplyDelete
  2. Siasa za maji taka Angekuwa Lowasa nae angelipa kodi,,,,Unatafuta unaarufu waachie wakina mdee,,,hakuna jipya chini ya chadema,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe ndo mlikataa ra simu ya katiba ya warioba fyuuuuuu
      CCM

      Delete

Top Post Ad