Video ya Chura Yawa Gumzo Mtandaoni..Hivi Ndivyo Inavyozungumziwa nje na Ndani ya Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Video ya Mwanamuziki Snura iliyotoka hivi Karibuni imekuwa gumzo mtandani kwa jinsi wadada wanavyotingisha makalio kwa mtindi wa Chura kama jina la wimbo huo unavyoitwa..Japo video hiyo mpaka sasa haijachezwa na kituo chochote cha Tv Tanzania lakini huko Youtube inaonekana imeshakuwa maarufu kwani watu nje ya nchi na ndani wamekuwa wakiijadili kwa maoni tofauti tofauti

Hapa nimekuwekea maoni mbali mbali ya Wadau:


Boss Hogg2 
Thats it am going to TZ... Hey tanzanians, place gani poa ya kupata madem wana mizigo huko kwenu... Area gani na club gani.. Mtu anijibu

Ado Ashu1
Astaghfirullah!! Mna laana wote mliojidhalilisha ktk hii nyimbo. Ama kweli thamani ya mwanamke inapotezwa na watu wachache kama nyie.


Niyongabo Idrissa
Mnaosema video haina maadili mnatafuta nini youtube?

La Shay Glenn2 
Wanaosema hii tradition mjiulize kwa nini snura asijiweke hapo,halaf hao wanawake wamevaa mask....obvious its wrong in many ways

emanuel kilima10 
Oooops ladies and gentlemen nimeipenda hii video...its a nys twirking style....kiukwel watu wanaonesha umahiri waoh....katika kudance...kipaji hicho ww unaweza? Dont say dat kwamba video haina maadili kwako tuu ndo itakuwa haina maadili......big up sana snura....tumeipenda hiyoo..

Ali Khamis
Mhu  snura  na  hao  madada  mnajiuza?

Thomas Noel23 
mnaojifanya kukejeli Hii video wenyewe mna madhambi kibao

Jerry Pharel20 
You guys mnaokuja with maadili comments here I think hamjawahi tembele ngoma za uswahilini.
This song is mchiriku (singeli) style, did u expect a video to be in love story type of way?
If u dont like it dont watch it.
Snura u done it right girl!

La Shay Glenn2
Aliekuambia kurusha mitako ni tamaduni ni nani.....Snura mwenyewe hajaweka sura yake hapo plus hao wadada wana mask kuficha id zao....obviously its wrong khaaa....get in ur senses bro

lvyl bby dol17
Ameshaxema yy mwnywe basata kaifungia YouTube xaxa ww mweny maadili unatafta nini uku kwa chura

Kedrick Ross15
Jamani jamani jamani, aisee.Hii wimbo inachangamsha kinouma sana. nimeipenda beat inavyokakamua na  hao wanawake kucheza kwa uchangamfu. Yaani utamaduni uenee.Yaani bora hivi kuliko kucheza nusu uchi kama marekani.Full respect of our ngoma dances. Wanaosema si maadili kwani ngoma za vijijini vilichezwaje? Khaa,mkiendelea na mambo kama hayo mnadhani tutafika mbali? Nyimbo za kuchangamka kama hizi na video vinaoheshimu uchangamfu huo ndo itabeba kucheza huko


Itazame Video Hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao vyuraaa balaaa...mume wa mtu akikamata chura mmoja hapo ndoa imekwisha duuuh hahahaha...

    ReplyDelete
  2. NADHANI SASA NI WAKATI BARAZA LA SANAA KUANGALIA TENA SHERIA ZAO NA WAKIZINGATIA MAADILI YA MTANZANIA.
    MIMI KAMA MWANAMKE HATA SEKUNDE MOJA SIWEZI THUBUTU KUFANYA HIVI, HATA KAMA NAHITAJI PESA KIASI GANI. MAKAHABA WANAOUZA MIILI YAO WANAKATWA, NA HAWA WANAACHIWA NINI, SINA MAANA UKAHABA NI MZURI. HAPANA. BALI BORA YULE ANAYEKAA BARABARANI KUSUBIRI MTEJA, KISHA WANAKWENDA GEST KUFANYA BIASHARA YAO.
    KULIKO HUU UCHAFU AMBAO WATOTO WETU WA KIUME NA WA KIKE WANAANGALIA HUU UCHAFU, NA KUWEKA KITU KICHWANI NA KUMDHARAU MWANAMKE,
    MUNGU TUSAIDIE.

    ReplyDelete

Top Post Ad