AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Young-Killer-na-Diamond
Rapa huyo wa Mwanza amepost picha akiwa na Diamond Plutnumz na kuandika:
Hakuna mtu aliye zaliwa ili aje awe maskini (ndiyo ) unaweza ukawa umezaliwa kwenye familia maskini ila ukweli ni kwamba hujazaliwa ili wew uje kua maskini….hivyo bas ::mafanikio uja kwa wale walio shindwa mara nyingi na wakajaribu tena kwa ujasiri.. (yes) mungu nisaidie yatimie .. with MSAFI @diamondplatnumz
Baada ya post hiyo iliyoibua maswali mengi, Bongo5 ilimtafuta Young Killer na kuzungumzia swala hilo.
“Hakuna kitu chochote kinachoendelea, nimepost tu,” alisema Young Killer. “Kama ikitokea nimesaini mtasikia. WCB ni label kubwa na kila mtu anatamani kufanya nayo kazi, kwa hiyo ikitokea nikajiunga pale ni jambo la heri sana,”
Bongo 5
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
dalili za uteja kabisa halafu bado kadogo
ReplyDeleteAlama za vidole mmeziona hizo? Comment mmeisoma mkaielewa? I.e contract signed, this worship itawa cost wengi sana!!
ReplyDelete