AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"Nataka kukumbuka nilivyorudi kwenye game 2014 toka nimepumzika, nimepiga hatua kubwa sana na hii ni kutokana na support kutoka kwa mashabiki, mtanisamehe mashabiki pale nilipokosea, ila kwa furaha niliyonayo leo kusaini mkataba huu naomba nikirudi nifanye party ili nifurahi pamoja na mashabiki zangu ambao walikuwa na mimi mwanzo mpaka sasa" alisema Alikiba.
Mbali na hilo Alikiba amewashukuru waandishi wa habari na vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikimpa support kwenye kazi zake za muziki siku zote.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kiba for real fanya kazi best angalia maisha yako,,,ishi utakavyo sio watakavyo heshim mkubwa na mdogo maisha ni mapito tu big up.
ReplyDeleteKimya kimya nakubali Kiba sio ujitangaz ao ujionesh kweny vyomb ao kufany kollabo na wasan et njoo umepeny sivyo. Unatulia na kufany mamb yak taratib na njoo maana nakukubali. Et kufany kollabo na wasan wakubw et njoo ulish kuwa mkali ahahaaa, Alikib hashituk ten na kollabo za hao munao waita wasani wakubw kwan hakun yeyot muhao anay fikia mzee wakazi R.Kelly. so endelea Kiba tuk pamoja. Usiw unajionesh onesh ao kujitangaz tangaz kweny vyomb vya habar na mitandao ya kijamii. Endelea hivy ulivy na kutup kit kizur. Nafurahiy staili yak kwan unatuchangany huwa unatugeuz unapo yoa ngom kwan watu huwa wanafikiria ngom jinsi itakuj toka ila kwa ujuzi unao unalet kit tofaut kabisa na hilo njoo nime kupa big up. Ila wasio jua wanalalamik et oooo wal nini hawajui hao, sisi njo yunajua. Honger sana.
ReplyDelete