Breaking News:Mwanamuziki Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa..Kisa Chura

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tamko hilo limekuja mara baada ya TCRA, BASATA na Wizara ya habari, Bodi ya filamu kukaa na Bi Snura kwa kubaini kuwa wimbo una maudhui ya udhalilishaji , ukiukwaji wa haki za binadamu na tamaduni ya kitanzania.

Msanii amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Basata kinachomtambua kama msanii.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MATAKO MATUPU SASA KUNA WATUMIAJI WENGINE WA MITANDAO YA KIJAMII WAPO NJE YA NCHI ( WALIO WENGI) VIPI MTAWEZA KUDHIBITI KILA MTU!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunasemea kwetu TZ,huko nje wanatembea na chupi tu na ruksa sisi hatuna utamaduni huo.

      Delete
  2. Chura anaruka ruka chura

    ReplyDelete
  3. Kukosa kisomo, na kuleta mambo ya uswahili. Tatizo la kukosa elimu huyu mama hana elimu, hekima wala majivuno. Ni kama wanawake wanaojiuza.Muziki unaendana na elimu pia. Kaingiza mambo ya unyago wa kabila lake wakati watu walipokosa elimu kumtimizia mwanaume kimapenzi . Ndo iliyowapa akina dada wengi mimba za kutokujitakia. Iwe funzo kwa wengi.

    ReplyDelete
  4. wamemuonea wale wanawake hawapo uchi kabisa mbona nyimbo za kina AY na JUX vibikini vitupu zinapigwa kwenye TV

    ReplyDelete

Top Post Ad