AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Meya huyo anakabiliwa na shitaka la kumshambulia mwandishi wa Habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lissa na kumsababishia maumivu makali.
Kesi hiyo jana ililetwa mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa kwa ajili ya usikilizwaji ambapo upande wa mashitaka ulikuwa na shahidi mmoja.
Wakili wa serikali Onolina Mushi alidai kwamba,kesi hiyo ililetwa kusikilizwa lakini mshitakiwa pamoja na wakili wake hawajafika mahakamani.
Kutokana na hali hiyo,aliiomba mahakama itoe hati ya kukamatwa kwa mshitakiwa huyo pamoja na kupanga tarehe nyingine ya kuendelea kusikiliza shauri hilo.
Hakimu alikubali maombi hayo ikiwemo ya kutolewa hati ya kukamatwa kwa Meya huyo.Kesi hiyo iliahirishwa hadi Mei 23 mwaka huu kwa ajili ya usikilizwaji.
Katika kesi hiyo,Boniface anadaiwa kutenda kosa hilo Septemba 11, mwaka jana, maeneo ya Kinondoni, Dar es Salaam, kipindi hicho akiwa na cheo cha Udiwani kata ya Ubungo.
Ilidaiwa kwamba,mshitakiwa huyo alimpiga Lissa kwa mateke na ngumi sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia majeraha makali.
Shitaka la pili ilidaiwa kwamba ,mshitakiwa huyo katika tarehe hiyo kwa makusudi na kinyume cha sheria aliharibu kamera aina ya Nicon yenye thamani ya sh. milioni nane mali ya Kampuni ya Uhuru Publication Limited.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ma ccm yanayomuamgusha magufuli yanaanza sinema mbofu mbofu
ReplyDeletehayatafika mbali!
ReplyDeletepumbavu zenu kama mtu amefanya makosa kwa nini asiwajibishe, na sheria zipo mambo ya ccm yanaingiliaje na sheria kuchukuwa mkondo wake acheni ushabiki wa kipumbavu fuatilieni issue kabla hamchasema ujinga wenu.
DeleteWasira alitukana, mkapa pia hata Kikwete Ccm hata haikusema chchote.Ccm ni ileile, mfumo ni uleule, wafanyskazi hewa ni ufisadi wao,majipu mamuu ya nchi bado huru na yako serikalini. Magufuli bado anatumbua dagaa changa, mibabu ya usisadi yajishafisha kijanja mali zao zafichwa, na wabunge wengi wamekaa bungeni ni mizigo elimu finyu na uhuru na demokrasi inakufa tunamwenda kiudecta wa mtu mmoja. Ndugu raisi tunakumba tendea hami nchi na mamilioni ya watanzania leta katiba ya wananchi
ReplyDeleteHiyo ndio tabu yenu nyinyi 'machoko wa ukawa', mnawaona hao 'mbwa wenu' kama malaika vile, wasiguswe hata kama wamefanya makosa....Wasira na Mkapa walipotukana nani damu ya nani ilimwagika? Huyo 'mdudu' wenu alipiga magumi na mateke,tena walimchangia ofisi yote ya chadema, wakataka kumwua lakini Mnyika akasema tukimuua watatushtukia kwa vile walimwona akiingia ofisini.......leo hii unasema 'fyoko-fyoko', kama huna ulijualo funga bakuli lako....mfyuuuu
Delete