Mkenya Afunga Ndoa na Mwanaume Mwenzake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KATIKA matukio ambayo wanaume wa Kenya wanaoana na wanaume wenzao katika nchi zinazoruhusu jambo hilo, mwanamme mmoja wa Nakuru, Kenya, amefunga ndoa na profesa wa hisabati wa Marekani.

Bw.  Ben Gitau (33) na Bw. Steve Damelin walioana wiki iliyopita huko Ann Arbor, Michigan, Marekani, Jumamosi alasiri ambapo baada ya tukio hilo wawili hao walionekana wakibusiana na kukumbatiana ambapo marafiki na wanafamilia walipiga vigelegele na kushangilia.

Hata hivyo, mshauri mmoja wa masuala ya kifamilia , Mchungaji Philip Kitoto wa International Christian Centre, Nairobi,alilaani ndoa hiyo akisema: “Kiutamaduni na kwa mujibu wa Bibilia,  ndoa na kujamiiana kati ya watu wa jinsia moja ni dhambi.”

“Biblia iko wazi kwamba Mungu alituumba kwa taswira yake; mme na mke.  Katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 Mungu anamwonya  mwanaume kutofanya ngono na mwanaume  mwenzake  kama anavyofanya na mwanamke.”

Bw.  Kararu Ririe, rafiki wa karibu wa wanandoa huyo ambaye ni Mkenya aliyewahi kukiri kwamba ni shoga anayeishi California, Marekani, alitume ujumbe kwenye mtandao wa twitter baada ya ndoa hiyo akiandika kwamba: “Jioni hii nilimpongeza rafiki yangu, Ben na mumewe Steve, kwa ndoa yao.  Ni jambo adimu kwa Mkenya kuwa jasiri kiasi hicho.  Hongera.”

Gitau alikuwa anaishi Atlanta, Georgia, kabla ya kuhamia California.  Kwa mujibu wa mwanafamilia  mmoja aliyezungumza na gazeti la Daily Nation, Gitau alikutana na mchumba wake huko Atlanta ambako Damelin alikuwa mwanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo cha Teknolojia cha Georgia.

Katika kulaani tukio hilo, Mchungaji  Kitoto alisisitiza kwamba tendo la ndoa kati ya mwanamme na mwanamke liliwekwa kwa ajili ya uzazi.

Ndoa za jinsia moja zilihalalishwa katika Jimbo la Michigan mwaka jana mwezi Julai na Mahakama Kuu ya Marekani iliyoondoa sheria zinazopinga ndoa za watu wa jinsia moja mradi tu wawe wanapendana.

Source: Daily Nation
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona hata watanzania wapo
    Wake kwa waume ughaibuni
    Bora makaratasi
    Hata bungeni wamo

    ReplyDelete
  2. Wana laana hao.

    ReplyDelete
  3. ACHA WATU WAKALE USHUZI WAO RAHA KWELI NAOMBA SHERIA HII TANZANIA IPITISHWE TUOANE JINSIA MOJA

    ReplyDelete
    Replies
    1. njoo tuoane mimi na wewe mi napenda mkundu sana

      Delete
    2. MUKIOANA JINSIA MOJA MBUZI WATAWACHEKA YAANI WAO WAMESTAARABIKA KULIKO NYINYI.MUOGOPENI ALIEWAUMBA KESHO MUTARUDI KWAKE .HAKUNA WAKUKUTETEA.

      Delete
  4. Bora makaratasi

    ReplyDelete
  5. Mh kwa kweli sasa dunia imevaa sketi khaa!

    ReplyDelete
  6. Anataka makaratasi huyo. Baada ya San Francisco hapa Atlanta kumejaa magay.

    ReplyDelete
  7. Ila hizi ndoa mbona waafrica tu ndio huolewa??? Kwanini haitokei mzungu akaolewa na mwafrica??? Nawaza tu! Au njaa zetu zinatusumbua?
    Ujinga huu, na walaaniwe.

    ReplyDelete
  8. MUNGU tuokoe Mungu tusamehe Baba tuongoze na zaidi linda watoto wetu wakiume na wakike waongoze wakujue wewe waogope dhambi bariki matumbo yetu sisi wanawake tubebao mimba ili tuzae kilicho chema cha kukupendeza wewe Amen....

    Nikiona ndoa zahv huwa naishiwa maneno nabaki kuomba msamaha kwa Allah..jamn mmmh

    ReplyDelete
  9. acha wakatiane sana kwani kosa ni nini? wangekua ni wazungu watupu wala msingeshangaa , mimi naishi hapa sweden kuna wa zanzibar wengi sana ambao wlikuja kujiripua wakashindw , Plan b ikawa ni kuoana na msenge na wengi waunguja ni wasenge mbona wanaishi maisha poa tu na hakuna mtu anaeshangaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuishi poa unajidanganya mwenyewe.siku ukikabiliana na aliekuumba ndio utajieleza.kuwa mzanzibari sio malaika.tunachoomba wacheni kuiga mila za waliopotea.hakuna dini inaruhusu hayo.ila ni upotofu na mwisho mutarudi kwa aliewaumba mukijuta na kuingizwa motoni.pole sana ndugu kwa fikira zako potofu.

      Delete
    2. hilo senge la Kiamerika linataka mbegu ya Kenya tu.lakini halibebi mimba.

      Delete
  10. Ah! wewe anony 10.14 am vipiii!!! uelewi mada Mkenya ndio ameolewa hapo!! naona umelala ukiamka utaanza kulia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata ikiwa Mkenya ameolewa mbegu zinachanganya.anaeoa tu ndie anambegu Nenda Shule wewe .

      Delete
    2. Wewe ndio nenda shule, kwa sababu huyo mkenya ndiyo jike kwahiyo atakuwa anakoj..wa kwenye ass yake sasa zitachanganywa vipi na yeye kajitolea kuwa shimo la taka taka la mzungu. Poyeeee.....

      Delete
    3. Safi sana nimeridhika na jibu lako.kwa hiyo ni uchafu mtupu

      Delete

Top Post Ad