Lady Jaydee Haikufaa Uimbe Uliyoimba Ndani ya Wimbo wa Ndindindi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nijikite Madani.

Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki baina ya Tanzania Na Afrika kusini ref; Njalo! Hata kuna video Jide aliwahi kufanya Kule bondeni, kufuatia harakati zake Leo hii wasanii wengi wakubwa wanaowika Miaka hii wanafuata Nyayo zake Na kujaribu kupanua wigo wao wa mashabiki barani Africa Na duniani Kwa ujumla kupitia mlango uliofunguliwa Na Jide huko SA.

Wote tunafahamu mahusiano Na Ndoa aliyopitia dada yetu Huyu kipenzi. Tunajua changamoto kubwa aliyokabili katika Ndoa Yake ambayo Kwa kiasi kikubwa ilikua inampact KUBWA tu kimafanikio Yake ya kimziki .

Ni Kweli huenda Shemeji yetu (G) amemkosea Mara nyingi dada yetu Ila Kwa maoni yangu Mimi bado Naona alikua Na mchango Mkubwa sana Kwa dada yetu( sijasema Jide hawezi kusimama kimziki bila G) Ila nafikiri haikua vema kumuimba mtaliki wake katika wimbo huo!

Ikumbukwe G alivumilia maneno mengi sana kuhusu hali ya Huyu dada yetu! Hata zaidi G mwenyewe sio mtu wa visasi Na majibizano! Amekua cool sana kuzungumzia mahusiano Na hali Yao ya mahusiano Yaani Kwa kifupi Jamaa ameonyesha Kifua cha kiume Na Heshima Kwa aliekua mkewake.

Jide anamashabiki wengi sana, Yaani hata angeimba chochote bado ngoma Yake Ingelizwa sana tu! Hata angetaka kuimba kipaji chake Kua kimejaa Ndindindi bado ingefaa tu. Ukiangalia umri wake Na jinsi amejijengea heshima Kwa mashabiki Na maadui zake ilifaa aonyeshe ukomavu Kwa ku'move on bila kuzungumzia lolote kuhusu Ndoa vunjifu!

Mwisho Kabisa ili tuendelee kukuheshimu Kama Sasa dada yetu kipenzi Tunaomba usizungumze lolote kuhusu G, wewe simama kivyako tu, sote tunajua uliyopitia ingawa kiundani zaidi unajua mwenyewe, Na huenda unaimba Ili kupunguza machungu Ila jikaze, kumbuka wewe Ni Komando! Muache brother aendelee tu Na Maisha Yake, Hebu ona hata Hakumzuia Dina kufanya interview Na wewe ingawa Na uhakika angetaka angezuia tu!

IMBA TUCHEZE!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alikuwa na mchango gani mwanaume suluali alishe kila kitu aende zake

    ReplyDelete
  2. mwandishi amebanwa ma mavi akanye

    ReplyDelete
  3. yani unapoteza muda mwng kuchambua kitu akina macho wala miguu,ww ni jipu.

    ReplyDelete
  4. yani unapoteza muda mwng kuchambua kitu akina macho wala miguu,ww ni jipu.

    ReplyDelete
  5. Ushuzi upumbavu ujinga na kukosa ufahamu ndo hichi ulichoandika hapa...hebu pita kuleeeeee....Anaconda muache ndi ndi ndi ni mziki mzuri una maudhui mazuri hajaimbwa mtu yameimbwa matukio ya kawaida yanayotokea deile kwa yoyote yule....kaa chin tuliza ball furahia muziki munene wa komandooo sawaaa eeh

    ReplyDelete
  6. Kama mwanamuziki hakuna kipengele chochote kinachomzuia kuiamba kile anachojisikia, bali kumkashifu na kumdhalilisha eti kisa ameimba kile anachokiamini na kukisimamia ni kosa kisheria tena ni kosa la jinai.

    ReplyDelete
  7. Kama mwanamuziki hakuna kipengele chochote kinachomzuia kuiamba kile anachojisikia, bali kumkashifu na kumdhalilisha eti kisa ameimba kile anachokiamini na kukisimamia ni kosa kisheria tena ni kosa la jinai.

    ReplyDelete
  8. Keshaimba sasa kwani kuna mtu ameibiwa?? Mmeona keshaamka tena mnataka kurudisha usingizini looh!! Imekula kwenu haters - go Jide goooooooooooooo

    ReplyDelete
  9. Semeni yote ila ukweli unabaki pale pale huyo binti kakojozwa. Mwanaume atabakia kuwa kidume tu hata kama dunia ingegeuka juu chini. Hongera Gadna kwa kuwa kidume cha ukweli kama vipi endelea na maisha yako provided ukweli ashasema na utabakia kuwa ukweli daima

    ReplyDelete
  10. Hata yeye alikua anakojoa vilele na kama kweli yeye kidume akapime DNA carine sio mtoto wake,,,Gadner Shoga tu anabandukiwa kama kawa.

    ReplyDelete
  11. mwandishi ana busara lakini comments zote zilizotolewa hazina busara

    ReplyDelete
  12. Acha aimbe bhana,acha atoe ya moyoni,acha aeleze hisia zake.kwa mtu mlieishi nae muda mrefu kama mume na mke,sio vizuri kumsema mkeo mbele ya kadamnasi kuwa ulimk...a,nani hajui kuwa ulifanya hivyo?dada yake kwani?G kamkosea sana shemeji,inampasa kujua kuwa bado kunamaisha mbele,asijekujikuta akula matapishi yake mwenyewe.ndi ndi ndi

    ReplyDelete
  13. Mwandish kaz unayoifanya huijui , kaa kushoto

    ReplyDelete

Top Post Ad