Nape: Wema Ametupa Heshima Kubwa, Tutamuweka Kwenye Rekodi zetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema.

Aliyasema hayo alipokuwa amehudhuria hafla hiyo aliyodai amehairisha kuhudhuria vikao vya bunge ili asiikose, pia amesema serikali itamsaidia na kumtangaza.
Msaniii wa Bongo Movie, Wema Sepetu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye baada ya uzinduzi wa huduma hiyo kufanyika mbele ya waandishi wa habari, katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar.

Tazama Video:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WANAOMSUKUMA HUYU MTOTO WANAFAIDI HACHUJI KABISA BONGE LA TAKOO

    ReplyDelete
  2. binadamu tujifunze kupenda mafanikio leo wema sepetu kafanya kitu kizuri lazima tumpongeze na tuzidibkumoa moyo leo kafanya hichi kesho atafanya kikubwa zaidi congrats Wema i like your guts keep it up wenye wivu wanywe sumu wewe uanaeuliza kwa lipi sasa kafanya wewe umefanya nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEMA ITS GOOD START.. KEEP IT UP!! BUT REMEMBER KURUDI KATIKA KAMBA YA MUNGU SIKU ZOTE NA KEEP LOW PROFILE.. MUNGU ATAKUSAIDIA NA JIEPUSHE NA YASIYO NA UMUHIMU NA UNNECESSARY MASHINDANO NA WALIMWENGU. HUU NI USIA WANGU KWAKO... WEMA NA JAMII PIA IS A VERY GOOD START KEEP IT ALIVE NA UJISHUGHULISHE SANA NA HIYO.. THE REWARD IS KNOWN KATIKA DUNIA YAKO NA KESHO AKHERA... TUNAKUPENDA MTOTO WETU.

      Delete
  3. Wema endela na maisha mama waache malimbukeni yamalize maneno.

    ReplyDelete
  4. Kiba yupo vizuri.Song la lupela linabamba.

    ReplyDelete
  5. Mola azidi kukufungulia kila la kheri wema.

    ReplyDelete
  6. WEMA ITS GOOD START.. KEEP IT UP!! BUT REMEMBER KURUDI KATIKA KAMBA YA MUNGU SIKU ZOTE NA KEEP LOW PROFILE.. MUNGU ATAKUSAIDIA NA JIEPUSHE NA YASIYO NA UMUHIMU NA UNNECESSARY MASHINDANO NA WALIMWENGU. HUU NI USIA WANGU KWAKO... WEMA NA JAMII PIA IS A VERY GOOD START KEEP IT ALIVE NA UJISHUGHULISHE SANA NA HIYO.. THE REWARD IS KNOWN KATIKA DUNIA YAKO NA KESHO AKHERA... TUNAKUPENDA MTOTO WETU.

    ReplyDelete
  7. Tako la mchina hilo.

    ReplyDelete
  8. wengine wakuwa ma MC. wanaanza mafumbo ya kumtukana Madam. shoka mbaya na hasira juu. jibu la mjinga ni kukaa kimya. Nakupenda sana Wema no matter what.

    ReplyDelete
  9. Jamani haya maneno ya ku copy and paste yataisha lini kwa Wabongo???? Halafu bila ya aibu mtu mzima hovyo unaenda kuwadanganya Watanzania ambao wengi wao hawana na wala hawazifuatilii hizo habari. Haya mambo ya application sio mapya na wala sio ya kuwadanganya watu,hizo Applications zimeanzia kwa akina Kardashians na haswa Kyle Jenner ambaye anayo application yake na kwa taarifa tu ni application zenye feature mbalimbali kuanzia Radio mpaka mambo ya Urembo. Huyu mtu anaiga tu. Ukiangalia vizuri na kiukwelii hizo applications ni kuhusu mambo ya fedha tu na hamna kitu kingine. Ni ile namna ya kutumia hizo IT programs ili kujipatia fedha tu na si kitu kingine.Kwa hiyo isije ikaonekana kama ni a very big deal saaanaaaa wakati hamna chochote.

    ReplyDelete
  10. you are right anaetukana ovyo na kuropoka ni mbumbavu sana na ni chuki to walizonazo keep it up na Mwenyezi Mungu atakulinda

    ReplyDelete
  11. Nakupenda Sana wema go go goooooooooooooooo my Wema

    ReplyDelete
  12. Hivi in my shoe iliishia wapi madame

    ReplyDelete
  13. jamani wengine hatuelewi tufahamishe vizuri jamani habari zipi zitakuwa kwenye simu za wema??

    ReplyDelete

Top Post Ad