AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Asipeleke mapepo yake ya ngono kwa watoto wetu
ReplyDeleteUwe japo na shukrani ukipewa ukijatazama hapo we umeshatoa kwa nani....mfyuuuuu
DeleteAkwendree na majanaba yake. Awakome watoto wa watu. Tasa mgumba weeee
DeleteSafi wema, naona sasa umekuwa achana na skendo zisizo na lazima.
ReplyDeleteGo go Wema,God bless u.
ReplyDeleteWewe usiye na mapepo ume peleka nini ktk jamii yako?Mbulula wewe.Acheni ushabiki wa kijinga,mtu akifanya vema apongezwe,kama huwez kumpongeza kaa kinya.
ReplyDeleteWewe usiye na mapepo ume peleka nini ktk jamii yako?Mbulula wewe.Acheni ushabiki wa kijinga,mtu akifanya vema apongezwe,kama huwez kumpongeza kaa kinya.
ReplyDeleteshika adabu yako wewe mbwa mwitu. Anony 6.36 PM. huna fadhila wala ihsani watoto hata paka anao. mwache Wema afanye lenye kheri.
ReplyDeletehongera wema. !!! kaza buti maneno ndio challenge yasikuvunje moyo. onyesha umebadilika!!!
ReplyDelete