Prof. Tibaijuka: Rais Magufuli Aache Kutumbua Nyama Akayaita Majipu..Wengine Tunatolewa Kafara na Mtandao Hauguswi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara na wenyewe hauguswi.

"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu". Alisema Prof Tibaijuka.

My take:
Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani? Hivi Prof ni msafi au anajitetea?


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si uwataje sasa unabwabwaja tu bila kusema ni kina nani hao mafisadi

    ReplyDelete
  2. Ndio kusema Mama Tiba unaufahamu huo mtandao, hebu amtajie JPM tuone kama hautatumbuliwa. Ingawa hata yeye alipata mgao wa 'kununulia mboga'

    ReplyDelete
  3. Kweli
    Akanana

    ReplyDelete
  4. Tajani basi huo mtaandao
    Siyo kulalamika tu

    ReplyDelete
  5. Nishai yenu nyinyi viongozi magumashu mliishazoeya ubetwe hamguswi hata mkifanyanya nini mkiambiwa ukweli hampendi

    ReplyDelete
  6. CCM hiyo
    Mtatafutana wenyewe kwa wenyewe
    Si urudi UN bi mkora
    Tanzania ina wenyewe
    CCM

    ReplyDelete
  7. Huyu mama wa visenti naye Nini?.kabapa mgawo wa bilioni lakini akaona ni visenti vya mboga, akajambe mbelee kuleee. Hawana hata huruma asilimia kubwa wenzao masikini mlo mmja wao mahela wanaona vijisenti Looo!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad