Video : Mama Wema Sepetu Kawalaani Wanaomsema Vibaya Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukitaja orodha ya wasanii wa Bongo ambao wanasemwa au kuandikwa na magazeti vibaya basi hutaacha kumtaja Wema Sepetu. Kwa mwaka huu tu keshaandikwa na stori nyingi sana ila kubwa zaidi ni kuhusu habari yake ya kubeba mimba ya mapacha  na kisha kudaiwa kutoka.

Baada ya kuenea habari hizo za mimba kutoka wengi waliongea huku wengi wakimsema kwa mabaya. Maneno hayo yalimfikia mama mzazi wa Wema na kuamua kuwafungukia kwa kuwachana na kuwalaani wale wote wanaomsema vibaya mtoto wake.

Hapa chini nimeweka video ambayo mama Wema ameongea mengi na kubwa zaidi amewalaani wote wanaomsema vibaya mtoto wake.

Tazama video hapa chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Wema .tabia za mwanao ndio zinafanya watu wamseme.Wema ni msichana mzuri alieumbika ,anaekubalika tatizo lake ni KUDANDIA DANDIA .Hakai na mtu mmoja wakafunga ndoa.hilo linamshusha thamani sana.PILI mambo mengine aweke siri sio kudanganya watu halafu anaaibika.ile ishu ya kubana umeme na anavyojidai anamahela ilimuangusha sana.ANAPENDWA ILA AJIWEKE KAMA MTU MZIMA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na huyo Wema ajifunze kuwa mkweli. Anapenda kujifagilia kwa mambo ambayo hayana ukweli wala tija. Anajua fika kuwa aliiba uwmeme. Anajua fika hakuwa na mimba anajua fika lile range lilikuwa na magumashi ukiachilia matako feki. Liamama lake linazidi kumpa kichwa mwanae kwa upumbavu wake. Ndio maana kila kukicha hawaishi kutukanwa na kushushwa thamani. Wanaboaaaaa.

      Delete
  2. Mama na wema naye kazidi
    Wangapi wasio zaa
    Kama Naomi,Opera
    Lakini hawajasemwa
    Nafikiri naye anapenda scandals

    ReplyDelete
  3. Kubwa jinga kaamua kum defend mwanae, hovyooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uchungu WA Mwana aujuaye mazaZi

      Delete
  4. Mbona atujawahi kumuona mama kajala akiongea upumbavu

    ReplyDelete

Top Post Ad