Wolper awajia juu wanaofuatilia penzi lake jipya na Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jacqueline Wolper amewafungukia wanaomsema kuwa haendani na mpenzi wake mpya, Harmonize.

Hivi karibuni familia ya WCB imeonekana kuchafua hali ya hewa mitandaoni baada ya picha zilizokuwa zinasambaa zikionyesha couple hiyo mpya mjini kati ya Jacqueline Wolper na Harmonize huku baadhi ya mashabiki wakisema kuwa ilikuwa ni kiki lakini kwa sasa mambo yanaonekana kubadilika.

Akiongea kwenye kipindi cha Take One, kinachoruka kupitia Clouds TV, Wolper alisema kuwa anaweza akawa na mwanaume anayefanya kazi yeyote sababu haitaji pesa kutoka kwa mwanaume.

“Naweza hata nikawa na mtu anaendesha bodaboda au anaweza sijua akawa mfagia hoteli, sijui anafagia nini lakini mimi kama mimi nikambadilisha na akawa mwanaume wangu. Kwa sababu nachokihitaji mimi sihitaji pesa mimi ni mpiga kazi, mimi nafanya kazi na ndiyo maana mwanzo nimeanza like na fanya promosheni Napata hela yangu, sitaki kutegemea mtu,” aliongeza.

Wolper alianzisha uhusiano na muimbaji huyo wa ‘Bado’ baada ya kuvunja uchumba na mwanaume aliyeahidi kumsomesha nchini Afrika Kusini na ambaye alikuja kugundua kuwa ni mume wa mtu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unavyosema unataka penzi tu sio pesa basi na iwe hivyo hivyo, usimchune tu, dogo kama umempenda naye amekupenda usiweke pesa mbele ukammaliza Dogo mpaka akiba yake, kumbuka ana majukumu nar wadogo zake watakuwa wanamtegemea. Alafu uwe na mapenzi ya kweli kama mwenzako aunt ezekiel na mose iyobo, afadhali wapo na mapenzie yao

    ReplyDelete
  2. huyu dada ni kicheche akiona mtu anakahela nyanya basi ni tapeli hajielewi hana mapenzi yoyote ujanja tu hapa mjini

    ReplyDelete
  3. wolper anajidanganya. harmonize anaonekana kutawaliwahata kwa picha tu utaona kupitia hiyo flaunting. ni tatizo la kua na mtu aliyekuzidi umri

    ReplyDelete
  4. Mapenzi au maumivu!!? hapo unatoa stress na safari ndefu bado unayo mapenzi ni safari ndefu na unavyozi kuyakoroga ndiyo yatakumaliza kabisaaa...Kwa sasa ungefanya mapenzi ya kung'ang'ania no matter what i will be here... lakini kuhama hama kama kuku anae taga ni tatizo tayari.

    ReplyDelete
  5. Hapa hakun mapenz tusidanganyan. Utizam Wolper vizur utaon kwel kam hapo akun penz ni kit ambac wanavizia ila sisi hatuwez jua isipokua wao na Daimond. Ila kam huy Harmonz anatak umaaruf bas hapo kagong mwamb na Daimond mwenyew alipat umaaruf ajil ya Wema. Kupendan sio vibay ila umri anamuzid so waach kutuchez akili hapo ni umaaruf na kitu wanavizia, yetu macho saa itatwambia.

    ReplyDelete

Top Post Ad