Dakika 90 za Mchezo wa Mpira Zinanichosha - Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji Wema Sepetu, amesema mchezo wa soka unamchosha kuangalia kwa kuwa unatumia muda mrefu wa dakika 90 huku wachezaji wake wakihangaika mno kutafuta mabao tofauti na mpira wa kikapu (Basketball).

Wema anasema mara nyingi akiwa nyumbani kwake hupenda kuangalia mpira wa kikapu kwani hauchoshi na wachezaji huwa wanatumia muda mfupi kupachia mabao.
Ili aangalie soka na kumaliza muda wote wa mchezo ni lazima awe na kampani yake na mara nyingi iwe laivu uwanjani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basketball enh?Au tayari una mchakato wa kumuwinda huyo mbongo achezaye huo mpira wa vikapu nchini USA

    ReplyDelete

Top Post Ad