AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Juzi juzi miaka michache iliyopita tumeshuhudia kampuni lingine kubwa la BP , kampuni pekee lililoaminika kutochakachua mafuta nalo likifunga virago vyake.
Nilikuwa nawaomba wadau waliozifahamu sababu za makampuni haya kutukimbia watuwekee hapa tuzijadili na kujifunza , na ikibidi tujirekebishe ili tusije kukimbiwa na makampuni mengine .
By Erythrocyte/JF
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Inasemekana BP imejiondoa Afrika na sio Tanzania tu, lakini sin uhakika
ReplyDeleteKwetu hapa bi mdogo awamu ya nne ndo mmiliki mkubwa wa uagizaji mafuta
ReplyDeleteHata mita hazikufungwa bandarini kisa yeye yeye bibi
Hmmm huyo wa awamu ya nne alikuwa ni shidaaa!!! Yaani unajiuliza alikuwa kikazi kajiriwa na Taifa hili wanachi wamemchagua Kwa kumuamini kwa yote au alikuwa yupo zaidi kutafuta maslai mfukoni mwake kwa njia yeyote ile ili awe bwana tajiri
Delete