Rais Magufuli: Utawala Wangu Sitaki Kulimbikizia watu vyeo. Mbunge Hawezi Kuwa RC au DC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateua mbunge kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji, kwamba "Haiwezekani katika watanzania mil. 50 tukose watu hadi turundie watu vyeo.

Tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo".
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah aiseeee kwa kweli wataisoma namba mwaka huuu. Sijui kama na huo watauita ni u dictator ama?????????

    ReplyDelete
  2. Umenena Baba..Hiyo ni kweli ajili we need kila mmoja awe Mbunifu na ana mwelekeo ambao anafocus na kuchukua hatu stahili ili atusaidie kufikia lengo... Pamoja sana Mkuu. Ajira tutazizi disha katika kila nyanja na hii ni mojawapo katika mwelekeo.

    ReplyDelete
  3. Ni Tanzania ndio tunaongoza kwa mtu mmoja kuwa vyeo 2,3.
    Kingine kimenifurahisha waliochaguliwa wengi ni vijana.

    ReplyDelete
  4. HONGERA SANA RAIS WETU HAKUNA MTU KULIMBIKIZA VYEO VITATU PEKE YAKE . HUYO HUYO MBUNGE MKUU WA WILAYA MWENYEKITI WA BODI SIJUI MJUMBE WA NINI VILE HAPANA CHEO KIMOJA MTU MMOJA.

    ReplyDelete

Top Post Ad