Tundu Lissu Awekwa Rumande Kwa Kukosa Dhamana.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MBUNGE wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana, mara baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kufuatia kauli yake aliyoitoa jana inayoelezwa kuwa si ya kiungwana.

Mbunge huyo amehojiwa kwa saa tatu  kuhusiana na maneno mengine ambayo anadaiwa kuyaandika kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni ya uchochezi.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam leo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amekiri kuwa Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana na hataachiwa leo, hivyo atalala huko mpaka kesho.

Hii ndo kauli iliyomfanya alale rumande
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa hii maneno tena inatoka wapi. Hawa wanasiasa uchwara ni matatizo sana kwa maendeleo ya Nchi yetu. Hata kama unatofauti za kimtizamo na Kiongozi wa Nchi kunaulazima gani wa kumuita majina ambayo hayastahiki kama Dikteta ama neno uchwara. Nadhani huko ni kuvuka kile kiwango cha nidhamu kwa Kiongozi wa Nchi. Hizi Kiki nyingine ni za kijinga sana. Kwa nini asitueleze yale anayoona hakubaliani nayo bila kuingiza lugha nyingine zisizofaa kwa Kiongozi wa Nchi?????? Yeye kama mmoja wa viongozi waandamizi wa upinzani ni sura gani anayoijenga mbele ya jamiii ambayo inawaamini hao wapinzani?????? Je ni kweli upinbzani wa Siasa hapa Tanzania maana yake ni fujo na kebehi kwa viongozi waliopo madarakani??????

    ReplyDelete
  2. Anashangaza kwa ukosefu wa Maadili, Utumizi wa Lugha ya Kudhalilisha na Kujionesha kwamba yeye hamuheshimu yeyote na Hajali lolote.. Huu ni ukosefu wa Dhana ya Kuheshimiana na Kujithibitishia kwamba mimi siwezikani na hakuna yeyote atakaenifanya lolote na ntafanya ninaloolitaka bila Kujali... Sasa tunakwambia Kissu ukikichezea mwisho huwa kinakukata na utajipeleka mwenyewe kutafuta matibabu mkosa Nidhamu na Uzalendo.. Wacha uchochezi na Jiheshimu na jifundishe kuzungumza katika umuri uliobaki katika maisha yako... Japo its late lakini ukiwa na nia unaweza kujirekebisha...Hata watu wamekususa mtovu wewe... Hapa kazi na nidhamu inahitajika tena ya hali ya juu.

    ReplyDelete
  3. Anashangaza kwa ukosefu wa Maadili, Utumizi wa Lugha ya Kudhalilisha na Kujionesha kwamba yeye hamuheshimu yeyote na Hajali lolote.. Huu ni ukosefu wa Dhana ya Kuheshimiana na Kujithibitishia kwamba mimi siwezikani na hakuna yeyote atakaenifanya lolote na ntafanya ninaloolitaka bila Kujali... Sasa tunakwambia Kissu ukikichezea mwisho huwa kinakukata na utajipeleka mwenyewe kutafuta matibabu mkosa Nidhamu na Uzalendo.. Wacha uchochezi na Jiheshimu na jifundishe kuzungumza katika umuri uliobaki katika maisha yako... Japo its late lakini ukiwa na nia unaweza kujirekebisha...Hata watu wamekususa mtovu wewe... Hapa kazi na nidhamu inahitajika tena ya hali ya juu.

    ReplyDelete
  4. ????????????????. Unapo comment apply two way thinking

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu Ni wani wet ya kupinga Tu..kuonraha Ni mpinzani. Lakini hajielewi.

      Delete
  5. Nisawa kabisa mtuyoyote kikoseya apewe azabu yeyeninani apewe azabu watanzaniawangapi wakojela

    ReplyDelete
  6. AMA kweli!!!! Wewe unatutaka sisi wananchi tuingie barabara kumpinga Raisi wetu tuliemchagua sisi wenye.. Hii inadhihirisha kwamba wewe Una matatizo..mimi ningependelea uchukue familia yako uanze mayo halafu uone hatima yenu..Lakini kwa sisi wananchi Hilo wazo lako potofu tunakwambia usilirudie tena na ulifuoishe kama Mtoto navyo koma/kuacga ziwa la bi mkubwa umesikia Lissu?? Kesi yako iko mahala husika na utaijibu na sheria inafata mkondo wake. Kupptoshwa na kuchochewa tumekukataa na hatukutaki..kkama unafikiri Kuna wakkukusikiliza atakuwa mmoja au wawili je unawajua Ni kina nani????.....manake hata Mtoto Wako atakushtukia na atakupeleka kwa haraka Sana kupata tiba!!! Inasikitisha pole mwana wane!!

    ReplyDelete
  7. Jamani mliachiwa Sana na mkaItafuta kiki weeeee!! Je bado Tu mnazitaka????au ndiyo posho imekula kweni!!

    ReplyDelete
  8. Namuona huyu kijana ndiyo katika wake wake na lugha PIA Ni chafu..inabidi tumsaidie kujirekebisha manaake Ni mzazi Ana familia ili iwe na maadili ambayo inawezekana aliyakosa hapo awali.

    ReplyDelete
  9. Hivyo wewe unajifikiria ukileta Lugha za kuishi utafaidika na nini?

    ReplyDelete
  10. Vumbi utimue mwenyewe halafu useme jamani nisaisieni kitamba cha cha kuziba macho na uso!! Hapo tutashindwa kukuelewa!! Au ndiyo mzungu kafa na Tai yake shingoni??

    ReplyDelete

Top Post Ad