Video ya wimbo ‘Jike Shuka’ ya Nuh Mziwanda yamtoa povu Shilole..Adai Nuhu ni Mshamba Asiyejua Hata Kubadilisha Boxer

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake huyo, Shilole ameonyesha kukasirishwa na kazi hiyo.

Nuh amethibitisha kwamba Shilole ndiye aliyemuimbia kwenye wimbo huo, kwa kumtumia video queen anayefanana na Shilole kama pacha katika video ya wimbo huo.



Sholole baada ya kuona video hiyo, aliandika ujumbe instagram ambao baadae aliutoa:

"Wale unaongozana nao wanaweza kuwa mizigo au Baraka. Shukrani za dhati kwani kwenye mashabiki zangu ambao ni baraka na pole sana wasanii wote mnaodhani bado tupo dhama za kutumia mgongo wa mtu mwingine kuweza kutoboa. Kipaji siyo maneno ila ni vitengo. Umemiss mkong’oto?. Sipendagi mwanaume mjinga ndiyo maana umekula mkong’oto wa kutosha… Mshamba usiyejua hata kubadilisha boxer, niweke mbali na maisha yako. Nikifungua mdomo wangu utadhalilika....." Shilole

Shilole na Nuh Mziwanda waliachana miezi kadhaa iliyopita ambapo Nuh amekuwa alizungumzia mengi yaliyomkuta wakati akiwa kwenye mahusiano na mwanadada huyo, huku Shilole akitaa kuzungumzia kilichotokea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeye mwenyewe mshamba wala hasijitie kumzodoa mwenzake bure

    ReplyDelete
  2. Nyie wote Nuhu na Shilole hamna akili, kama mmeachana si mkae kimya? mpaka muanze kutoleana siri! ustarabu ni kunyamaza

    ReplyDelete
  3. hatùwezu kushanga kama hawezi kubadilisha boxer hivo si ndivo ulivotaka haya sasa jike shupa NUH kakutema na utatemwa na kila mtu mama mtu mzima huna hata haya kweli mapenzi hayachagui lakini dada ulipitiliza haya sasa NUH na maisha yake tena for your information anangara katoto kanatamanika na kapendeza hadi nuru kwenye uso wake kutoka achane na wewe hakutaki hata useme nini tunamjua NUH usijisumbue

    ReplyDelete
  4. kwani ukiachana na mtu mpaka umtungie wimbo?? na mkirudiana unaenda kuufuta wimbo?? kweli ushamba nao ni mzigo!DUME SHUPA POLE!

    ReplyDelete

Top Post Ad