AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
==========
My Take
Wabunge kuhoji Mamlaka ya Mahakama ni dalili mbaya ya Udikteta. Mahakama inapotoa Hukumu halafu anaibuka Mbunge wa CCM anahoji hukumu hiyo, kisha Waziri wa Sheria anaahidi kuileta hukumu Bungeni ni dalili mbaya sana kwa Utawala wa Sheria.
Hayo yemetokea leo Bungeni Dodoma, wakati Mbunge wa CCM Livingstone Lusinde alipohoji uhalali wa hukumu halali ya Mahakama dhidi ya Kijana aliyeshtakiwa kwa kumkashifu JPM. Kama serikali haijaridhika na hukumu basi ifuate sheria kwa kukata rufaa.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wabunge wa ccm naona nanyi mnakuza mambo , nafikiri hata rais na familia yake wamemsamehe huyu kijana
ReplyDeleteTunamatatizo bungeni
Leteni hoja jinsi gani mtatatua tofauti ya UKAWA na TULIA
Ili turudi ktk hapa kazi
Tusiwe watu wa kuchokonowa maneno badala ya kumaliza la msingi
Mnatujengea uadui ktk nchi
Iwapo bungeni hata hali hampeani
Wa kukaya take action
Vunja bunge