Wasanii Wanaona ni Ufahari Kutoka Kimapenzi na Mastaa wa Kike Wenye Umri Mkubwa – Nay

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Nay wa Mitego amesema wasanii wachanga wanajisikia ufahari kutoka kimapenzi na mastaa wa kike wenye umri mkubwa.
nay new2

Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Alhamisi hii, Nay wa Mitego amesema kuwa wasanii wachanga hawawezi kujizuia kutoka kimapenzi na mastaa wa kike waliyowazidi umri kwa kuwa walikuwa wanawatamani kwa muda mrefu.

“Mimi siwezi kuwalaumu hao vijana kuwa na uhusiano nao, unaju inaweza kuwa mtaani siku moja ulikuwa unawishi siku moja kuwa na mtu fulani, halafu ikitokea nafasi kama ile pale aah! Mtu hata upewe ushauri wa dizaini gani mtu ambaye ulikuwa ukimuona kwenye runinga anaingia katika kumi na nane zako mimi siwalaumu japokuwa wanatakiwa kuwa makini”, alisema Nay

Pia Nay alisema wasanii wengi wa kike, wamekuwa wakiutumia udhaifu huo ili kutembea na wasanii wachanga.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi N umeongea point hapo big up.

    ReplyDelete
  2. Umri si tatizo, tatizo ni je wanamapenzi ya kweli? Umakini unahitajika kama alivyoshauri Nay. Kila mmoja kwa upande wake aangalie kwa undani zaidi uhusiano wake una lengo gani kwake na kwa mwenza wake.

    ReplyDelete

Top Post Ad