Dongo la Mbatia kwa Naibu Spika Dr. Tulia Akson....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati  James
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa ndiyo iweje???? Umeshachoka na unapoteza mwelekeo!! Posho Inakatwa Hatutaki Kuibiwa na kuchakachuliwa Maana yake mlisha zowea.. Aliyekuwa shule sasa Anawajibika na Nying kina ndumila kuwili sasa Wajibikeni... Unachezea Posho wewe!!!! wengi mtasema maanake zimewagusa sana na mtesema sana!!1 Hapa Kazi Tu...

    ReplyDelete
  2. Magufuli amenena ukweli kuwa sis wazee tumeifikisha nchi hii hapa tulipo na wewe umenena ukweli kuwa wakati uko bungeni naibu spika ni mwanafunzi kwa hiyo inabidi ung'atuke na kuwaacha vijana walete mabadiliko wewe umepitwa na wakati.

    ReplyDelete
  3. Wachangiaji mna mawazo ya lumumba ya buku saba lakini mkumbuke the ukuu wa wilaya hautolewi tena saivi kamalizia pole pole

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo unataka kutuambia ulianza kazi muda mrefu na unauzoefu ama siyo?? Kwa hiyo mazoea ya miaka ile sasa ni mabadiliko au vipi?? Ndiyo ungatuke kama huiwezi spidi hii na mwelekeo huu.. Theres a Game changer in Place if you do not embrace changes you will be left behind... So i suggest change and be with the flow of Achivers and performers with high displine in all fiels... And moreover uwe ni Muwajibikaji na Muaminifu na Mzalendo... You will be welcomed on board with JPJM on the reins.... Karibu sana Tanzania yetu mpya.. Dr Tulia yupo kazini na tunapenda uwajibikaji wake... Mtasema sana ... POSHO POSHO LAIVU LAIVU itakuwa mwimbo usiokwisha kila kukicha.... HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUU.

    ReplyDelete
  5. Hawa ndiyo wale wale Bla Bla nyingi... Vuta nukuvute... But the Game has changed.. Vuta unaondoka na kamba yako.. we do not waste energy. as we need most... Hongera Dkt Tulia.. Maamuzi ni sahihi kabisa... Walizoea na watakuona NOMA...

    ReplyDelete
  6. Kwhyo kama enzi hizo kulikuwa hakuna posh povu linakutoka la nini kama utulie

    ReplyDelete
  7. safi sana mbatia kama ni posho mlishazichoka na sasa mnachotaka ni mabadiliko ya haki sio ubabaishaji unaoendelea nchini.

    ReplyDelete
  8. Mbatia nakuunga mkono.hawajui wanatafuta pesa.uwape kweli wao.hapo hamjafuata pesa Bali kazi mliyopewa n.a. wananchi

    ReplyDelete

Top Post Ad