AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akiongea na waandishi wa habari leo kukanusha habari hizo, msemaji wa jeshi hilo, Kanali Ngemela Lubinga amesema jeshi limesikitishwa sana na habari hizo za upotoshaji kwa kuwa zinachafua taswira ya jeshi na taifa kwa ujumla.
Amelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi mara moja na wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Si Dhani kama kuna aliamini !!! Lakini tulisoma na kuanza kutafakari kuwa hii yote ni kwa Malengo gani?? na wanataka kutufikishia ujumbe gani? Je gazeti hilo limejipanga vizuri kiutendaji? na wana kiwango?? cha TBS NA ISOO??
ReplyDeleteHeeee Mbona inatisha!!! Hivo jeshini (Kambini) Hakuna Geti la Kutokea na Kibali?? Au Geti keeper alikuwa hayupo amekwenda kujisaidia ?? Itabidi tujue Magapi watu wamekunywa?? INATISHA MANAKE INAWEZEKANA ZAIDI YA MOJA .. LAZIMA MLINDA GETI AWAJIBISHWE NA MUANDISHI ATUPE IDADI KAMILI YA VIFARU VILIVYOTOKA NA MUDA ULIOTOLEWA NA KWA HIVI SASA VIMEFICHWA WAPI NA HATIMA YAKE ITAFANYA KAZI GANI HUKU USWAILINI NA MANUFAA YAKE YATAKUWA NI NINI KWETU?? au ITAMWAGA DAMU YA MDHAMIRIWA YUKU NA LINI??? MWANDISHI LAZIMA ADODOSWE ILI APATE KUDODOSA||

ReplyDelete