Zitto: Simjadili Dr Tulia ni Kibaraka, Mdee: Serikali ya Magufuli ni ya Kisanii tu!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakihojiwa na redio moja mkoani Kagera inakosemekana wataanzia ziara hivi karibuni 
Zitto amesema hawezi kumjadili naibu spika maana anajua anatumwa. "Huyu simjadili maana najua anatumwa na akiambiwa geuka anageuka, akiambiwa kimbia anakimbia". Alisema yeye anamwambia aliyemtuma apambane na ufisadi na si demokrasia kwani dunia nzima waliogombana na demokrasia wameangukia pua. Amesisitiza ziara inayotarajia kuanza itawazindua watanzania

Mdee: Amesema kiini cha kuzuia matangazo ya moja kwa moja ni kutaka kuwaaminisha kwamba serikali hii ni tukufu kumbe ya kisanii tu. Amewataka watanzania wajitokeze kwa maelfu kwenye mikutano yao ili wadadavuliwe serikali ilivyo ya kidikiteta. "Ndani ya bunge tumeaacha wabunge makini wa kuweza kuibana serikali, nje tuko mashine za kutosha kuiamsha jamii ya watanzania".

Wote wamesema serikali ya Magufuli ina dalili zote za kidikteta na inaliteka bunge makusudi ili kunyamazisha wakosaoji maana huko ndiko Magufuli anaweza kuanikwa. Wamesema madikteta wote hupenda kusifiwa na kuimbiwa nyimbo za kuabudiwa. Walisema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi mnajua maana ya dikteta au mnaropoka tu?
    Mdee kwanza huna adabu/nidhamu,umekuwa wa kuropokaropoka sana siku hizi,hivyo ulivyosimama tu ni kuonyesha huna unalolijua kuhusu nidhamu ndani ya bunge,hapo unamshikia nani kiuno?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi ni shabiki wa mdee sana lakini kwa hapo kanikwaza.

      Delete
    2. mDAU LABDA TUWASAIDIE KILUGHA... MANAKE INAONESHA IMEKWENDA KOMBO KWA HAWA DOGO!!!!!

      Zitto, Hivi ni wewe kweli unaesema au?? tutafsiri neni kibaraka ( Mtu anaye tumwa kwa niaba/ kuwasilisha au kupendekeza masilahi ya fulani (mtumaji)..

      Mdee... Kisanii... inatokana na neno sanaa..ni sifa ya umahiri fulani wa kuweza kuleta vitendo na hali ya jamii kukaribia mwenendo wa maisha ya kila siku katika jamii....

      Uwiano wa maneno yenu hayalingani na dhamira elekevu... Nakuombeni wanasiasa mchwara nyinyi mrudi mlikotoka na kujifunza lugha ipasavyo halafu mjue jinsi ya kuitumia na mahali pa kuitumia,,,... mimi niko tayari kuwasaidia hili Kizalendo kabisa bila hata ya senti ya maji!! likizo tumeshakupeni pumzikeni ili muwe kutafakari nini cha kufanya baada ya kuwa siasa zimekushindeni... Mwangalie CK anauza nyama choma wewe ukiuza Chipsi mayai ni poa zote ni biashara.. HAPA KAZI TU,, LUGHA IN MBINU NA MATUMIZI KAMA HAMJUI INAKUWA VIGUMU KUELEWA NA KUELEWEKA... LUDI SHULENI.....JPJM KASHIKA HATAMU NA SAFARI YETU TUMESHAIANZA... WACHOVU WA DIZAINI YENU HATUWATAKI ....HAPA KAZI TU

      Delete
    3. Badala yakuporomosha mitusi ungetueleza kwanza maana ya dikteta.

      Delete
  2. nipe tano mdee na zitto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani umejiona ni mwerevu humjadili Dr Tulia. ( sababu ni Jasiri na Mahiri na huoni ndani kwake) Mdee umeona awamu yetu ni ya kisanii!! ( Umekosea ni ya innovation, Perfomance / Discipline and Achivment) Mpo wakosa uelewa... Spidi ni kali majeruhi njeeeee ... POLENI tena sana... JPJM kashika hatamu kwa nia njema na malengo mema..Semeni mnayotaka lakini hamumpotoshi yeyote mwenye kuwajuieni na Drama zenu zisizokwisha...tena magazeti yatakustukieni hivi karibuni itabidi mbaki fesibuku na Mkude Simba au King!!! uchaguzi ni wenu... HAPA KAZI TU

      Delete
    2. Tulia hatutushi wala kutubabsidhs
      Alimbiwa anyowe mavuzi ya kwapa kwa sababu ananuka
      Kikwapa na aliyemwbia mtu mzima ccm abishefyuuuuuyyi

      Delete
  3. Kumbe ndio maana mpaka sasa bado hujaolewa pamoja na kwamba una elimu yako nzuri.Wee hapo bungeni kuna wakubwa zako wengi sana,wote wake kwa waume lakini huoni vibaya kushika kiuno wakati unaongea?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe bungeni wote ni wabunge
      Shikamoo na umri nje ya bunge
      Bungeni hekima na busara haiangalii umri wala elimu
      Ccm washamba wa akili
      Ndo mmechaguwa madk prof
      Kila
      Fyuuuuuuuuyu

      Delete
    2. pumbavu zako kwanza huna heshima kama mdee jitambue we kilaza kama CCM ni washamba wewe uelevu wako uko wapi??? acha usenge wako pumbavu zako

      Delete
    3. Pumbavu wewe na ukoo
      Wako
      Nyani
      Ulitaka Halima. Apige magoti bungeni!
      Fyuuu
      Ni mbunge tena jimbo
      Fyuiuuui

      Delete
  4. zito zito hivo kwa nini wewe tu au ndio msemaji bora but let me tell you something i think its better usiwe mwana siasa, first off all ask yourself what i am talking is right will my people really support me, believe or not your not suppose to be whatsoever your calling youself i dont mbunge or ...... you are still uncivilised

    ReplyDelete
  5. Hivyo hamjioni katika kundi lenu. Mwenye akili ni wewe na zito?? Tena kumbukeni kuchukua kibali na kama hamna tunawajia ndani na mtajibu shitaka la uchochezi kuvuruga Amani... Upunbavu huu hatuuvumilii!... Mtanyea Debe wakosefu wa Mwelekeo na wazalishaji wa Sinema za Vioja....angalieni msije mkatupiwa mayai Vizaa maake wananchi wamesha wachoka!!!!!

    ReplyDelete
  6. halima huna akili mpuuzi mkubwa wewe hata uzunguke JPM NI NOMA KILAZA WEWE

    ReplyDelete
  7. Zitto anapenda asikike kila siku hata kama hana la maana la kusema. Chadema hawakukosea kimfukuza.
    Huyo Mdee ni mpungufu wa adabu

    ReplyDelete
  8. 😁😁😁tulisha wazoea mzunguke Tz nzima mtuaminishe ujinga Wenu alafu mje mkanushe kama mlivyofanya kwa lowassa inshort hamjielewi

    ReplyDelete
  9. Yaani umejiona ni mwerevu humjadili Dr Tulia. ( sababu ni Jasiri na Mahiri na huoni ndani kwake) Mdee umeona awamu yetu ni ya kisanii!! ( Umekosea ni ya innovation, Perfomance / Discipline and Achivment) Mpo wakosa uelewa... Spidi ni kali majeruhi njeeeee ... POLENI tena sana... JPJM kashika hatamu kwa nia njema na malengo mema..Semeni mnayotaka lakini hamumpotoshi yeyote mwenye kuwajuieni na Drama zenu zisizokwisha...tena magazeti yatakustukieni hivi karibuni itabidi mbaki fesibuku na Mkude Simba au King!!! uchaguzi ni wenu... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  10. Mbwembwe tu za wapinzani hamna issue

    ReplyDelete
  11. you people i mean those bogus who are calling themselves wabunge do they know the meaning of mbunge nynyi ni vichekesho kweli wabunge they dont behave the way you people are its very funy tizameni nchi za nje muige mifano sio kila leo munatuletea vichekesho

    ReplyDelete
  12. Zitto, Hivi ni wewe kweli unaesema au?? tutafsiri neni kibaraka ( Mtu anaye tumwa kwa niaba/ kuwasilisha au kupendekeza masilahi ya fulani (mtumaji)..

    Mdee... Kisanii... inatokana na neno sanaa..ni sifa ya umahiri fulani wa kuweza kuleta vitendo na hali ya jamii kukaribia mwenendo wa maisha ya kila siku katika jamii....

    Uwiano wa maneno yenu hayalingani na dhamira elekevu... Nakuombeni wanasiasa mchwara nyinyi mrudi mlikotoka na kujifunza lugha ipasavyo halafu mjue jinsi ya kuitumia na mahali pa kuitumia,,,... mimi niko tayari kuwasaidia hili Kizalendo kabisa bila hata ya senti ya maji!! likizo tumeshakupeni pumzikeni ili muwe kutafakari nini cha kufanya baada ya kuwa siasa zimekushindeni... Mwangalie CK anauza nyama choma wewe ukiuza Chipsi mayai ni poa zote ni biashara.. HAPA KAZI TU,, LUGHA IN MBINU NA MATUMIZI KAMA HAMJUI INAKUWA VIGUMU KUELEWA NA KUELEWEKA... LUDI SHULENI.....JPJM KASHIKA HATAMU NA SAFARI YETU TUMESHAIANZA... WACHOVU WA DIZAINI YENU HATUWATAKI ....HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  13. Zitto Kabwe na Halima Mdee nyie wote hao ni total failure. Nyie zungukenizungukeni kama Kenge pori na hakuna hata Mtanzania yoyote wa maana atakaewasikiliza zaidi ya vilaza wenzenu.

    ReplyDelete
  14. Zitto na Mdee wote mna utovu wa nidhamu na mtindio wa ubongo. Mtu akifanya vitu vya kuleta maendeleo anaitwa dikteta. Mtasema mtachoka ila msituvurugie amani yetu kwa wivu wenu. Hamna mpango.......

    ReplyDelete
  15. Maswali na majibu ya mtu mmoja mtandaoni mweeeeeeed

    ReplyDelete
  16. Kama Nina kumbukumbu nzuri..Dodoma Kuna hospital mbili maarufu Sana toka Enzi..Moja inaitwa General na ingine Mirembe ... Kwa hiyo Mie nakuombeni mtembelee Mirembe kupata ushauri WA afya zenu..manake mnatutia wasiwasi But we Care for you...Hapa kazi Tu

    ReplyDelete
  17. mamburula ndio watahudhuria hio mikutano yenu mulituaminisha lowasa fisadi tukawasikiza mara tunashangaa ndio mgombea wenu leo hata hamuoni haya mwataka kuja tena kutuletea siasa za maji taka tumeshawagundua hatuwasikilizi ngo kwanza nani wakumsikiliza mwanamke kama huyo mdee asokua na adabu mwangalie hivyo alivyojishike ningekupa neno lakn acha tu, sisi tuko nyuma ya magufuli na tunamuombea mchana na usiku awafedheshe nyote

    ReplyDelete

Top Post Ad