Aunt Ezekiel: Sitaki marafiki tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki.

Ilishangaza Aunty Ezekiel kutomualika Wema Sepetu katika sherehe ya mtoto wake na mnenguaji wa Diamond Platinum, Moses Iyobo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ukumbi wa Serena Hotel.

Aunty Ezekiel alipoulizwa kuhusu urafiki wake na Wema, alisema hataki marafiki kwa kuwa hawamsaidii chochote hivyo kwa sasa rafiki yake mkubwa wa kufa na kuzikana ni mwanae tu.

“Rafiki yangu aliyebaki ni mtoto wangu ambaye atakuwa rafiki wa kufa na kuzikana, Aunty Ezekiel wa kipindi kile si wa sasa, kwa sasa nimeongezea jina naitwa ‘Mama Cookie’ naishi maisha mengine, nawaza kumlea mwanangu muda wote sina muda na marafiki wengine,” alisema Aunty Ezekiel.

Aunt Ezekiel aliongeza kwamba Iyobo na Cookie ndiyo wanaompa furaha na ndiyo wamebaki kama baba na mama yake.

Chanzo:Mtanzania
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bila ya wema iyobo usingekuwa nae wacha rap rap aunty kumbuka hisani usiwe mwizi wa fadhila kama muna tofauti zenu sawa lakini as i said kumbuka ulikotoka

    ReplyDelete
  2. Kama Mungu alimpangia awe na moze hata asingekua wema wangekutana Tu kwa namna ambayo Mungu mwenyewe amepanga hivyo, big up Sana aunt kwa kujitambua lea mwanao jenga familia yako mwaya, achana na mambo ya mashosti wanalostishana Tu.

    ReplyDelete
  3. manafiki tuu huyo hajielewi. utafikiri kazaa dunia nzima. au yeye ndo wa kwanza kuzaa kwenye dunia. kasahu Wema alivyomsaidia siku hizi ni asante yesu hata uislam hautaki tena.

    ReplyDelete
  4. ULIKUWA UNAMFATA WEMA KAMA MKIA WA MEE UMEPATA SASA HUTAKI MARAFIKI NA HAWAKUSAIDII. HAYA MAMA

    ReplyDelete
  5. Leo hii ndio unawajua binadamu. Na bado utashangaaaaa

    ReplyDelete
  6. akiachana na mkata kiono adarudi kwa mashoga. anaogopa asinyanganywe kama alivyo nyanganya

    ReplyDelete
  7. anonymous 3:27 ni kweli Mwenyezi Mungu ndie apangai kila kitu lakini huwa na sababu na sababu ya aunty kumpata iyobo ni wema alivokuwa na diamond na aunty alikuwa kama mkia wa wema ndipo akajigandisha kwa iyobo usitoshw ina husus nini umeamua hutaki marafiki baki nayo mwenyewe ila uache unafik bila ya wema hungefika ulipo sasa

    ReplyDelete
  8. linafiki tu... kazi kubemenda!

    ReplyDelete

Top Post Ad