Kylie Jenner Arudiana na Tyga, Asema ni Mume Wake Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kylie Jenner na rapa Tyga, wamerudiana na tayari T Raww anaitwa ‘Husband’. Tyga na Kylie Jenner wameweka wazi kuwa wamerudiani na mapenzi yao ni ya moto moto zaidi baada ya mwana dada Kylie kuanza kumuita Tyga ‘Mume Wangu’.

Kwa mujibu wa mtandao wa PEOPLEwawili hawa wanapendana sana na mapenzi yao yamekuwa na nguvu zaidi.

Familia ya Kylie haina tatizo kabisa na kurudiana kwa wawili hawa sababu wanaimani mahusiano yao hayata dumu.

Kwenye Interview hivi karibuni Tyga alisema umaarufu wa maisha yake ya mapenzi na Kylie ulifunika mambo yake ya muziki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad