MAGUFULI 'Ilifika Mahali Kuna Wafanyakazi Weekend zao Walikuwa Wakizifanyia Dubai na Kurudi Jumapili".

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mh Rais amewafikishia salaam wale wote wenye tafsiri hasi juu ya hali ya uchumi inayojitokeza sasa ya kufungwa na kugeuzwa kwa mahoteli kuwa hosteli kama mtikisiko wa kiuchumi kwamba fikra na mitizamo yao si sahihi.

Mh. Magufuli amesema na hapa namnukuu, "Hii ni tafsiri kwamba wapangaji wa nyumba hizi walikuwa ni wafanyakazi serikalini".

Mh Rais ameongeza na kusema kwamba, "Ilifika mahali kuna wafanyakazi weekend zao walikuwa wakizifanyia Dubai na kurudi Jumapili".

Mh. Rais nimemnukuu akisisitiza kwamba, "Hapo nyuma nchi hii kuna watu walikuwa wao wanaenjoy huku wengine wakiwa watizamaji, hii hapana lazima tu-enjoy wote".

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahahaha nakupenda bure baba magufuli...wataelewa tu...sasa hv kila mtu atakula kuvaa na kuendesha gari kwa kazi halalii tu...naona hadi instagram wimbi la wadada kujiuza limepungua maaana ilikuwa ni balaa...sahv no money mapedeshee hoi mishentaun chaliiii wauza unga kwishaàaa hahhahhaha nasikia raha utamuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kabisa mdau,hali ni mbaya kwa waliozoea kufisadi.Yaani kuna watu hata mishahara walikuwa hawaugusi,wao ni watu wa hela za wizi tu,sasa hivi wamepoa na ni watu wa mawazo tuuu.
      Na ndio wanamchukiaje JPJM sasa!Tumuombee rais wetu maana kaonyesha ujasiri wa hali ya juu,katufungua akili watanzania kwamba nchi ilikuwa inaliwa na wajanja,na hata kama muda wake ukiisha basi rais ajae ajue wazi kuwa kama atafumbia maovu atakuwa na wakati mgumu sana.MUNGU MBARIKI RAIS WETU NA WATENDAJI WAKE,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

      Delete
    2. Yaani hiyo mijitu wachaa hiyo mijiwazo iwandame kwa ubaladhuli wao si wamekwisha Yapata mema yao kwa ubaradhuli. Na wengine kutaabika mpkaa. Mola anasikia vilio vya wengi pia. Kwa wakaida mambo ni kawaida mlo moja kwa siku ni kawaida shida kwa mibaradhuli

      Delete
  2. Sawa sawa baba Magufuri baba wanyoshe, kwanza walikuwa wanatupelekea Taifa zima mahangaiko kukosa huduma muhimu si hatari hiyo. Walisha jiona miungu watu, kwa wizi,ufisadi,rushwa kwa kodi zetu wenyeweeee, wapelekee tu haoo

    ReplyDelete
  3. Magu..ulikuwa wapi??? Wewe Ni Mtoto wetu nwenye kujituma Na Vision ...Nakuomba utubadilishie Hilo taiga Kama lilikuwa halina wenyewe..Hivi sasa tunarudi kwenye mstari..na Nidhamu inarudi Na uwajibikaji unaanza kushika Kasi..Rushwa imepungua..misheni town zinaanza kufa..Uchezeani pesa za umma ..unaanza kukatika...Endeleea mwanetu tena kaza buti Sawa Sawa..asiyw iweza Kasi yako tafadhali akae pembeni!!! hapa kazi tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh!Tuseme asante Mungu asiye na kuchelewa wala kuwahi bali ni wakati tu wa kutupa mtu kama Magufuli ulikuwa bado kikubwa ni kuomba.Naiona kabisa TZ yenye neema muda si mrefu,ASANTE MUNGU.

      Delete
    2. SIMUELEWI KABISA HUYU BABA,SIJUI HATA NI MTU WA AINA GANI,HANA MAKUU YEYE WALA WATOTO/FAMILIA YAKE.KASHUSHWA?

      Delete
    3. Kweli kabisa,mie na kizabinazabina changu cha kuichukia ccm kimeisha fyyuuu,na kumbe sio ccm ni watu waliokuwa kipindi hicho ndo walikuwa wanazingua.wajemeni!

      Delete
  4. Asante baba,Umeleta heshima na nidhamu TZ.Mungu aendelee kukutunza,akuepushe na maradhi,akuepushe pia na roho ya kukata tamaa.Tumeanza kunyooka.

    ReplyDelete
  5. Pesa zilizookolewa basi zitolewe zifanye kazi. Isiwe raha kuzingalia ktk ma account benki kuu/ hazina

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayoo hayakuhusu mdau. Mradi pesa zipo pale zimeokolewa azijaingia mifukoni na kujaza mifukonyao Hawa mabazazi wakubwa wajalaana wakubwa na waharibifu wasio kuwa na hata miyoyo ya huruma na wenzao zimeokolewa ni za Taifa zitafanya maendeleo ya Taifa kwa manufaa ya Taifa yaani wote. Kunna mataifa hasa yaliyoendelea yameifadhi hela mpaka vizazi na vizazi huko kwa wenzetu wanakojielewa.

      Delete
  6. WERAWERA NGOSHAAAAAAAA.MOLA SANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Welaa wela mdau Mbona Mola wetu ametupa Ngosha wa maana aswa!!!!!

      Delete
  7. JPJM UMEKUWA GUMZO DUNIANI,MUNGU AKUBARIKI BABA.

    ReplyDelete
  8. WATACHONGA WEEE LAKINI MWISHO WATACHOKA,
    NA WATAKUBALI HATA KIMOYOMOYO KUWA JPJM
    ANAFANYA VIZURI.HAPA KAZI TU!

    ReplyDelete
  9. kaza buti waisome number lazima wote tulipe kodi kuenjoy tuenjoy wote kama tunavyopumua hewa moja JPM kiboko yao Mungu akulinde na mabaya yooooote

    ReplyDelete
  10. ASANTE MY PREZIDAAAAAAAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete
  11. Tena walikuwa wanafikia kwa balozi mdogo

    ReplyDelete

Top Post Ad