AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mahafali hayo yalizuiwa jana saa 6 mchana ikiwa ni saa mbili kabla ya muda kuanza
Tangazo lililobandikwa chuoni hapo na kushuhudiwa na wanahabari likiwa linamnukuu Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Apollinary Kamuhabwa liliwataka wanafunzi hao kutoweka mikusanyiko ya aina yoyote chuoni hapo.
Profesa Kamuhabwa kupitia tangazo hilo aliwaonya wanafunzi hao kutojihusisha na masuala ya siasa wawapo chuoni kama ilivyo kwa watumishi wa umma.
Jitihada za waandishi wa habari kuzungumza na uongozi wa chuo hicho ili kupata ufafanuzi ziligonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa hawakualika mkutano na waandishi wa habari.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Si waende kufanyia hayo mahafali yao huko Kanisani(KKKT)? mbona mnachokoza mambo wakati kila kitu kinaeleweka? hicho ni chuo mali ya serikali hakuna kufanya siasa hapo.
ReplyDeleteKwani upinzani wanatoka nchi gani wasitumie mali za nchi yao?
DeleteTatizo kubwa hapo haitakuwa shughuli iliyotajwa tu bali na mambo ya siasa ya uchochezi lazima yachomekewe.
DeleteLowassa tishio la inchi!
ReplyDeletehivi kumualika Lowasa kwenye mahafali ni siasa? Hii inatisha
ReplyDeleteHaitishi bali ni kwa kuwa CHADEMA wanataka shari,wasituharibie nchi,wee mtu uko msibani lakini wanaingiza siasa sembuse huko kwenye mahafali.
DeleteHow do we get freedom without being milled or bulldozed.It is scary.
ReplyDelete